Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Asante kwa haya maelezo yatawasaidia wengi hapa
Mkuu wasomi nao wapo kwenye michepuko na uelewa wao

Nini hasa tatizo LA kidume kuwa na michepuko?
Ndo nature yenu or

Sijui ni mdudu gani anaipitia hii jamii ya sasa..
Mi naona ongezeko la wadada wenye mvuto wa sura na maumbile linachangia sana watu kuchepuka.
Haswaa wale walioruka stage.
Mzee wa miaka 45 au 50 na zaidi kuchepuka ni stage tu aliiruka sehemu.

Afu na tamaa zinawasukuma sana watu kwenye michepuko.
 
Aisee hapo kujua ni mwanamke wangapi, I'm countless..
Mungu anisamehe nimepita sehemu nyingi kidogo.
Hakuwahi kutokea mwanamke wakunituliza nikatulia.

Nimekutana na wadada aisee.. bad thing kutongoza nilikuwa najua, so haikunipa shida sana
kuchapa chapa!!

Mwanamke wangu wa sasa,(kaweza kunituliza kabisa)..
nilimpenda sana kwa maarifa aliyonayo na alinijali hata kabla hatujawa wapenzi.
Niseme ukweli, mwili wake au sura yake haikuwa sababu ya mimi kumpenda, sababu ni ukarimu wake na kuonyesha kujali kwake.. na akili yake pia.

O.m.g
Utakuwa mwanaume wa kwanza kusema ukweli...

Tujuze sir ya mafanikio ya kupata mademu wangu...HB....pesa...una kimguu or kibamia....6*6 unapamudu kipi haswaaa
Je ulikuwa unatumia kinga au unapenda utamu wa pipi live
 
Sijui ni mdudu gani anaipitia hii jamii ya sasa..
Mi naona ongezeko la wadada wenye mvuto wa sura na maumbile linachangia sana watu kuchepuka.
Haswaa wale walioruka stage.
Mzee wa miaka 45 au 50 na zaidi kuchepuka ni stage tu aliiruka sehemu.

Afu na tamaa zinawasukuma sana watu kwenye michepuko.

Eeeh waliruka kama wangetumia ujana like u wasingerudi
Je mbona hta vijana wa sasa wanasema kuwez kubaki njia kuu sio treni....ni tamaa pia or lijali
 
O.m.g
Utakuwa mwanaume wa kwanza kusema ukweli...

Tujuze sir ya mafanikio ya kupata mademu wangu...HB....pesa...una kimguu or kibamia....6*6 unapamudu kipi haswaaa
Je ulikuwa unatumia kinga au unapenda utamu wa pipi live

Kwanza ugeni wa maeneo umenifavour sana,
sina u hb wowote ule, sina kibamia, sina kimguu, sina pesa.
Kiukweli i'm so charming!!

Kinga nimetumia mara chache.. mademu wengi siyo sifa nzuri na hili nimejifunza sasa.
Nimetulia kwa mmoja tu sasa
 
Eeeh waliruka kama wangetumia ujana like u wasingerudi
Je mbona hta vijana wa sasa wanasema kuwez kubaki njia kuu sio treni....ni tamaa pia or lijali

Umenikumbusha mbali ulivyosema urijali..
kuna rafiki yangu mmoja alipenda sana kunionya na neno lake kubwa lilikuwa "kuwa mwanaume rijali siyo kigezo cha kufanya ngono na kila mwanamke"..

Wachepukaji wengi sasa ni tamaa tu!! na urahisi wa wanawake wa sasa.
Naona kama kuwapata ni kazi ndogo sana, ndiyo maana watu wanachepuka kirahisi..

Na mahitaji ya pesa kuwa makubwa kwa wadada..
 
Kwanza ugeni wa maeneo umenifavour sana,
sina u hb wowote ule, sina kibamia, sina kimguu, sina pesa.
Kiukweli i'm so charming!!

Kinga nimetumia mara chache.. mademu wengi siyo sifa nzuri na hili nimejifunza sasa.
Nimetulia kwa mmoja tu sasa

Nashukuru kama umetulia kwa bibie najua anawatch hii.hongera kwa kuwa charming

Kumbe ucharming unasaidie

Mabint wazur na wenye sifa wapo kila uchao wanazid na figure za kichina ukipewa fursa ya kuchagua ungechagua figure ya aina gani

Elimu ni muhimu kwenye mahusiano ila isipotumika ipasavyo yaweza kuleta madhara yapi
 
kama kibamia huna na kimguu huna means una mguu wa mtoto kwi kwi kwi (am kidding lol)
 
Nashukuru kama umetulia kwa bibie najua anawatch hii.hongera kwa kuwa charming

Kumbe ucharming unasaidie

Mabint wazur na wenye sifa wapo kila uchao wanazid na figure za kichina ukipewa fursa ya kuchagua ungechagua figure ya aina gani

nene kidogo,

Elimu ni muhimu kwenye mahusiano ila isipotumika ipasavyo yaweza kuleta madhara yapi

ndiyo kama hayo yakutotambua wajibu.
Na classes..
 
Umenikumbusha mbali ulivyosema urijali..
kuna rafiki yangu mmoja alipenda sana kunionya na neno lake kubwa lilikuwa "kuwa mwanaume rijali siyo kigezo cha kufanya ngono na kila mwanamke"..

Wachepukaji wengi sasa ni tamaa tu!! na urahisi wa wanawake wa sasa.
Naona kama kuwapata ni kazi ndogo sana, ndiyo maana watu wanachepuka kirahisi..

Na mahitaji ya pesa kuwa makubwa kwa wadada..
Ha ha ha mwanaume lijali....

Ivi katika hao uliolala nw woote walifurahia uwepo wapo
je hukuwah kukutana na mwanamke aliyukufanya ujute kutokana na kushindwa kukufikisha au kuwa mtaalamu zaid yako
 
nene kidogo,

ndiyo kama hayo yakutotambua wajibu.
Na classes..

Asant kwa jibu lako
Unapenda wenye vinyama hupend kuumia na mifupa weye

Ulishawahi kufumania or kumfumania mtu
Je ulifanya nn cha kwanza
 
Ha ha ha mwanaume lijali....

Ivi katika hao uliolala nw woote walifurahia uwepo wapo
je hukuwah kukutana na mwanamke aliyukufanya ujute kutokana na kushindwa kukufikisha au kuwa mtaalamu zaid yako

niliwahi kujuta mara moja, kuna mdada huyo alikuwa anaonekana mkubwa kiumbo na hata mazungumzo yake yalikuwa yakikubwa, sasa si nikatupa mistari yangu ilinichukua saa kama nne hivi mpaka kwenye kukubaliwa..

Mbaya alinitamkia kuwa ni bikra,kati ya mambo yaliyonitesa kwenye balehe yangu ni mwanamke aniambie kuwa ni bikra.. nitakula nae sahani moja mpaka kieleweke..

Sasa huyo baada ya kuniambia hivyo nilikomaa nae sana.. siku anayokuja kunivulia pichu sikuamni macho yako yangu, she wasn't a virgin kidogo nimpasue.
 
Asant kwa jibu lako
Unapenda wenye vinyama hupend kuumia na mifupa weye

Ulishawahi kufumania or kumfumania mtu
Je ulifanya nn cha kwanza

ICHANA tutake radhi viambaumbau hata kama nyama hatuna ila kilele mwanaume anafika kama kawa lol (joke)
 
Last edited by a moderator:
Asant kwa jibu lako
Unapenda wenye vinyama hupend kuumia na mifupa weye

Ulishawahi kufumania or kumfumania mtu
Je ulifanya nn cha kwanza

sijawahi kufumania..
na nimesahau kukuambia nilikuwa sina uwezo wa kurun two girls at the same time, nikiwa na huyu, niachane na wa awali kwanza!!
 
Asant kwa jibu lako
Unapenda wenye vinyama hupend kuumia na mifupa weye

pale umeniambia niseme tu kama ningeambiwa nichague ningechagua nini, but kiukweli mpenzi wangu nampenda sana, si kwa sababu ya umbo lake zuri au sura yake ya mvuto aliyonayo.
 
Back
Top Bottom