PILAU la Christimas mtaani kwetu lilinoga hasa....!

Pilau za shughuli ama sherehe huwa hazichelewi kuwakwama watu shingoni huwa sijui ni tamu sana.:ranger:
 
mkuu Mtambuzi.mimi nilikuwa italian pub... palijaaa utafikiri kuna kigodoro
Remote hapo mahali ni jirani sana na mahali ninapoishi kwa hiyo sipendi sana kujivinyari maeneo hayo maana kuna totoz za kufa mtu na wakuda hawakawii kufikisha umbea kwa mama Ngina.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…