Ulaji wa ice cream mtaani kwetu unakosewa sana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,177
11,598
Ice cream inamung'unywa, hufyonzwa, au hunyonywa taratibu kwa ustadi mkubwa kufurahia ladha mujarabu ndani yake.

Kuna Ice cream za aina mbalimbali maeneo tofauti tofauti. Kuna zinanazotebgenezea viwandani na kienyeji pia. Kuna zilizohifadhiwa kwenye kopo, unakula kwa kuchota au kuchovya na kijiko lakini kuna zilizogandishwa sambamba na kijiti cha kushikia wakati wa kutumia. Mathalani icream ya ukwaju, maziwa, embe tangawizi. Mtaani kwetu zinaitwa bolokoni sijui huko...

Sasa kwenye kutumia hii bolokoni ndio watu hukosea hususani baadhi yao ni jinsia ya wa kiume.

Wakike hutumia kiburudisho hiki kwa usahihi sana.

Badala ya kumung'unya, kufyonza na kunyonya bolokoni lile akiwa ameshikilia vizuri kijiti ili aweze kufurahia ladha tofauti tofauti na barafu tamu sana iliyogandishwa kwa baridi kwa ustadi mkubwa.

Jamaa anang'ata na meno bolokoni gumu lilioganda na kutafuna mapande ya baridi sana ya barafu hadi meno yanakufa ganzi aise dah!

Hii si sawa unakosea, huo sio ufurahiaji mzuri wa kiburudisho hichi muhimu na kitamu hasa wakati wa joto na jua kali.

Usione aibu wala haya. Raha jipe mwenyewe.

Shukrani sana...
 
Ulijuaje kama alipotafuna meno yaliganda. Kuna msemo unasema aisifuye mvua imemnyeshea. Labda ni wewe mwenyewe.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Ice cream inamung'unywa, hufyonzwa, au hunyonywa taratibu kwa ustadi mkubwa kufurahia ladha mujarabu ndani yake.

Kuna Ice cream za aina mbalimbali maeneo tofauti tofauti. Kuna zinanazotebgenezea viwandani na kienyeji pia. Kuna zilizohifadhiwa kwenye kopo, unakula kwa kuchota au kuchovya na kijiko lakini kuna zilizogandishwa sambamba na kijiti cha kushikia wakati wa kutumia. Mathalani icream ya ukwaju, maziwa, embe tangawizi. Mtaani kwetu zinaitwa bolokoni sijui huko...

Sasa kwenye kutumia hii bolokoni ndio watu hukosea hususani baadhi yao ni jinsia ya wa kiume.

Wakike hutumia kiburudisho hiki kwa usahihi sana.

Badala ya kumung'unya, kufyonza na kunyonya bolokoni lile akiwa ameshikilia vizuri kijiti ili aweze kufurahia ladha tofauti tofauti na barafu tamu sana iliyogandishwa kwa baridi kwa ustadi mkubwa.

Jamaa anang'ata na meno bolokoni gumu lilioganda na kutafuna mapande ya baridi sana ya barafu hadi meno yanakufa ganzi aise dah!

Hii si sawa unakosea, huo sio ufurahiaji mzuri wa kiburudisho hichi muhimu na kitamu hasa wakati wa joto na jua kali.

Usione aibu wala haya. Raha jipe mwenyewe.

Shukrani sana...
Unatudanganya, ball cone (bolokoni) haina kijiti.
Nakushauri urudi kujifunza aina tena za ice cream.
images (1).jpeg
 
Ball cone ndo imekua bolokoni?

Any way huo ulaji ndo ulaji wa kiume... sasa unataka uile kwa mapozi? Au kama vipi msile kabisa muwaachie wadada au mle zile za kwny makopo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom