Bado huwa mnasheherekea kwa pilau?
.....Mkuu pilau linaraha yake!!!
tukiwa watoto siku hiyo unaoga mwenyewe bila viboko...chezea pilau wewe!!!
Mhhh unavyonukia huo maana mpaka mtaa wa pili nimeupataaisee .....
hahaaaaa ukiona hivyo ujue hawatafuni vizuri haswa nyama(kokoto)Pilau za shughuli ama sherehe huwa hazichelewi kuwakwama watu shingoni huwa sijui ni tamu sana.:anger:
hahaaaaa ukiona hivyo ujue hawatafuni vizuri haswa nyama(kokoto)
Hapo mahali ni maeneo ya TEMEKE MIKOROSHINI KWA MPELUMBE, naamini unafahamu maeneo hayo..........kwani babu mtambuzi hiyo picha wapi kiongozi?!