asante kaka kwa ufafanuzi.uwez zid 125 kph ukiwa na boxer unless umebadil rear sprocket
zina speedometer ya kawaida.hv hzo honda zina tachometer mfano hyo ya 1.9m au hyo 2.8
ndugu. inamaanisha sprocket iliyopo ni kubwa sana. Na je ukiibadili ukaweka ndogo haita athiri nguvu ya pikipiki especially katika kupanda milima?uwez zid 125 kph ukiwa na boxer unless umebadil rear sprocket
Ipi Bora? mi nitakwambia Honda cg 110 ni bora kuliko boxer150. kwasababu;
Honda CG110, Sifa yake ya kwanza ni engine yake ni cc 110, ni nyepesi. Inatembea spidi mita 120 kwa saa. Honda cg 110 inakimbia kwa mwendo wa wastani. Ina mngurumo wa chini yaani silencer yake ipo chini Ina carrier ya kubebea mizigo isiopungua kilo 120. wadau wengi wamependa Honda cg 110 kwenye ulaji wake wa mafuta ni mdogo kuliko pikipiki zingine. inaweza kutembea km 70 kwa lita. kwahiyo kwa bajeti iko vizuri. kwa matengenezo yake utasahau gharama kwa maana spare zake kuisha inachukua miaka 2 mpaka mitatu ndio ubadilishe spare.
Kwa Boxer 150, ina engine cc 150 kwahiyo ni kubwa na nzito. hata kwenye ulaji wake wa mafuta ni mkubwa inatembea km 40 kwa lita. watu wanachopendea boxer 150 ni kwamba ina spidi na ina mwendo wa hatari kuliko piki piki zingine. na vile vile ina carrier kubwa ya kubebea mizigo mizito. tatizo la boxer ni kwamba gharama za kuitunza. ukinunua boxer mpya baada ya miezi mitatu utaanza kubadilisha gasket, mara spocket mara hiki nk. kwahiyo utajikuta unaingia gharama za kwa mara kwa mara kwenye boxer. lakini pamoja na hayo bado wapo wabongo wengi ambao hawajali hasara kwasababu wanaziona boxer zipo nyingi mtaani basi wanakua hawajui effect zake baadaye. kwahiyo shekhe nimeshakujibu hapo.
sawa mkuu, nilijua watu wa boxer lazima mtatokea kupinga comment zangu na ndio maana sikutaka kucomment sana kuhusu sifa za pikipiki zingine. lakini kwa sababu ya wadau wengi wananiuliza uimara kati ya honda na boxer. na mimi lazima nitetee Honda ni bora na ina maisha marefu hio bila ubishi wadau wanafahamu na sitaki kuelezea sana kuhusu boxer kwasababu binafsi niliwahi kuwa na boxer na ninakumbuka uzuri na ubaya wake.Mkuu maelezo yako kuhusu boxer 150 yana uongo. Boxer na honda pikipiki isiyo na kelele ni boxer vile vile ulaji wake wa mafuta ni mdogo, inaenda hadi km 60 per 1lt na sio 40 kama ulivyosema, na sio kweli kwamba boxer baada ya miezi mitatu tu tangu ununue inaanza kusumbua, kwa taarifa yako tu boxer inakaa hata mwaka na zaidi bila kuharibika. Sifa ya honda kuizidi boxer ni uimara tu.
Boxer ni pikipiki za kisasa na hadi sasa kuna matoleo mawili tu kama sijakosea, zipo boxer BM 125 na BM 150 hivyo siwezi kukubali kwamba Honda za kisasa ambazo zinafanana bei na boxer pamoja na model take ni imara kuliko boxer, si sahihi kulinganisha kampuni ya Honda na kampuni ya boxer ambayo ni mpya na pikipiki zake hazina muda mrefu tangu ziingie nchini.sawa mkuu, nilijua watu wa boxer lazima mtatokea kupinga comment zangu na ndio maana sikutaka kucomment sana kuhusu sifa za pikipiki zingine. lakini kwa sababu ya wadau wengi wananiuliza uimara kati ya honda na boxer. na mimi lazima nitetee Honda ni bora na ina maisha marefu hio bila ubishi wadau wanafahamu na sitaki kuelezea sana kuhusu boxer kwasababu binafsi niliwahi kuwa na boxer na ninakumbuka uzuri na ubaya wake.
Nakupa namba za watu wangu wa spea za Honda. cheki nao watakupa bei zake. Athumani 0653516681, Mama Sofi 0658074755. Chacha 0717080125.Coil ya 125 xl bei gani
kuna boxer bm 100 kickstarter, bm 150 na bm 250Boxer ni pikipiki za kisasa na hadi sasa kuna matoleo mawili tu kama sijakosea, zipo boxer BM 125 na BM 150 hivyo siwezi kukubali kwamba Honda za kisasa ambazo zinafanana bei na boxer pamoja na model take ni imara kuliko boxer, si sahihi kulinganisha kampuni ya Honda na kampuni ya boxer ambayo ni mpya na pikipiki zake hazina muda mrefu tangu ziingie nchini.
honda cbx twister inakuja kwa tsh ngapi???Honda 250 cc,hizo hamna kwa sasa. huwa zinakuja kwa oda maalum. kama mteja ambaye anahitaji tumwagizie kutoka nje basi tunampigia hesabu ya gharama na bei ya pikipiki. analipia kisha anasubiri mzigo wake.
haifik hata ukimbize vp mwisho 130Boxer bm 150. speed maximum 160.
Asante kwa taarifa.haifik hata ukimbize vp mwisho 130
BM 100 na BM 125 ni bei gani kwa sasa?kuna boxer bm 100 kickstarter, bm 150 na bm 250
Haifiki kivipi?haifik hata ukimbize vp mwisho 130