Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

Jamani kama kuna kampuni, shirika au watu binafsi wanahitaji pikipiki za honda.
usisite kunipigia simu 0717-518359. 0689866100. wateja wa mikoani tunawasafirishia bila usumbufu wowote .
 
Jamani kama kuna kampuni, shirika au watu binafsi wanahitaji pikipiki za honda.
usisite kunipigia simu 0717-518359. 0689866100. wateja wa mikoani tunawasafirishia bila usumbufu wowote .
 
honda ace red 2.jpg
 
kama kuna mahitaji ya pikipiki za honda kwa kampuni binafsi, shirika, taasisi, ngo, taasisi za serikali au watu binafsi basi msisite kunipigia simu -0717-518359, 0689866100.
 
Mkuu naweza pata repair kit ya carburetor ya Honda ya Manji

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naweza pata repair kit ya carburetor ya Honda ya Manji

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
repair kit ya carburator unapata mkuu. nibora uilete pikipiki yako hapa kwetu tazara ifanyiwe hayo matengenezo.
 
Nipe gharama mkuu?

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
tuwasiliane mkuu kwenye simu ndio itakuwa rahisi, namba yangu ni 0717518359, 0689866100. nipe namba yako tuwasiliane ili siku za kazi nikutafute nikupe gharama kamili.
 
tuwasiliane mkuu kwenye simu ndio itakuwa rahisi, namba yangu ni 0717518359, 0689866100. nipe namba yako tuwasiliane ili siku za kazi nikutafute nikupe gharama kamili.
0655 24 1234 utanicheki!

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Haya mapikipiki shenzy kabisa, HONDA ACE 125 TUF, Sitaki hata kuyaona, moja lilishanigaragaza Mwanza pale nyegezi nimetoka town naelekea buhongwa,

Kidogo nife au kukatika mkono maana nilikuwa kwenye 110 km/h kama sikosei, li mbwa likakatisha barabara nikalifagia, kilichofuata kumbe lilinipiga mtama, niliamka nipo hospitali.

Nilikoma na nikaamua kuacha job baada ya management kukataa kuleta gari badala ya bodaboda.
Speed yote ya nn? Tembea speed ya mjini 50 mpaka 70 uwezi Pata majanga. Wewe ulikuwa unataka kumaliza speed iyo ndio balaaaa ulikuwa unatafuta
 
WADAU WA HONDA TUNA STOCK YA HONDA ACE CBD 125 ZIMEBAKI CHACHE KWA WALE WADAU WALIOKUWA WANAZITAFUTA TUWASILIANE KWA NAMBA YA SIMU 0717-518359. QUALITY MOTORS LTD.

BEI NI MILLION 2.8. ZINAPATIKANA SEHEMU MOJA TU KWA SASA, NI OFISI YETU YA MSASANI, MACHO. STOCK ZIMEBAKI CHACHE WAHI UFANYE BOOKING MAPEMA KWA MAANA STOCK MPYA MPAKA IJE INACHUKUA MIEZI MIWILI

View attachment 328880

View attachment 328881
View attachment 328883
Kwenye ubebaji wa mizigo na barabara ya vumbi vip? Inavumilia kama izi sunlg mchina
 
Back
Top Bottom