BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,922
mkuu picha hizo hapo nimekutumia. Bei yake ni kubwa kutokana na quality yake na ubora wake ni mkubwa pamoja na uwezo wa kutembea bara bara zote za rough road na uwezo wa kubeba mizigo mizito. wadau wanaoifahamu wanaita piki piki ya shamba. Engine yake tu ni mkataba wa miaka 5 na zaidi. Bei yake mbona sio ya kutisha.
Hivi unafahamu kwamba kuna piki piki za Honda za miliion saba mpaka million kumi na tano. Nenda vile vile kampuni ya Yamaha kaulize Bei za piki piki zao.
Yamaha office zao ziko wapi!?