kweli mkuu bei zimepanda kwa XL, chukua honda tuf 125 bei ziko chini na zinafaa kwa kwa rough road, bei mil 3,200,000.
Mkuu nahitaji engine XL/XLR 250 nitapata?Go for honda XL ambayo ni genuine miaka miwili iliyopita ilikua inauzwa millioni 7! hapo hutajuta...
Tupia picha tuoneNina Honda nx250 nishawahi kui post humu kuwa naiuza Mashine hiyo nliinunua Denmark IPO mpaka sahvi ...bado naiuza ntafutie mteja
utaratibu wa mikopo upo na mara nyingi wadau wengi huwa wanauliza na tunawaelezea utaratibu wetu, lakini baada ya hapo ni ahadi kibao na huwa mnapotea hamrudi tena.
Sio mm mkuu wangu nipe maelezo utakuja kutoa mrejesho kwa jinsi tulivyokwena mimi na kampuni yenu.utaratibu wa mikopo upo na mara nyingi wadau wengi huwa wanauliza na tunawaelezea utaratibu wetu, lakini baada ya hapo ni ahadi kibao na huwa mnapotea hamrudi tena.
nitafute kwenye simu nikupe maelezo - 0717-518359 au 0689-866100Sio mm mkuu wangu nipe maelezo utakuja kutoa mrejesho kwa jinsi tulivyokwena mimi na kampuni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu wangu ntakuonanitafute kwenye simu nikupe maelezo - 0717-518359 au 0689-866100