Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

IMG_20161223_122333.jpg
 
jokielias izi honda uhimili wake kubeba mizigo upoje?zinafaa kwa shamba na spear upatikanaji wake kwenye maduka mbalimbali
 
Hizo xl za kijapani nazifahamu ni fake ( I mean hazimalizi safari ) yaani ukitembea km 200 zinataka upumzike masaa 3! Ivyo ni tofauti na hizo za kichina ambazo zenyewe in mwendo mdumbo no kupumzika
Acha utan mkuu, hujawah kumiliki Honda ndo mana wasema ivo
 
We ndiyo ****** kama siyo tahira wa kutupwa kwa akili za kawaida tu Honda na hizo za kichina zipi ziko barabarani zaidi. Katika pikipiki 1000 utakazoziona road 980 ni mchina why! majibu unayo
Mkuu hapo ni Sawa na kuuliza mbona barabarani passo na vits na ist ni nyingi kuliko jeeps na ford[emoji1] [emoji1]
 
Mkuu sijajua Honda ipi unauulizia, ila tuna Honda Dream scooter 110 isiyo na clutch ambayo bei yake ni Million 3.1 au kama una maanisha Honda CT 110 hizo tunazo zipo chache kwenye stock bei ni million 7.3.
Anaongelea zile zenye gia tatu bila kuwa na clutch ambazo tank La mafuta lipo chin ya seat ya dereva alafu ina kiti kipanaaaa cha kubebea mizigo
 
Mkuu kitu SANLG 125 nilitembea km 424 bila kuipumzisha. Mchina shikamoo.
Sanlg jamaa yangu alitoka Nayo Arusha mpaka kwao iringa kwa kupitia morogoro chalinze .Bila kupumzika.Akatoka nayo iringa mpaka dar.Alafu akarudi nayo arusha ni mashine kubwa
 
jokielias izi honda uhimili wake kubeba mizigo upoje?zinafaa kwa shamba na spear upatikanaji wake kwenye maduka mbalimbali

Mkuu hizo pikipiki zinahimili mikiki yote ya barabara na mzigo wa kilo 100 mpaka kilo 200 zinaweza. upande wa spea tunazo tunauza hapa hapa ofisini tazara. kama una namba ya simu nitumie hapa nikutafute.
 
Vipi jamani kati ya spare za boxer na Honda zipi ni gharama zaidi?
kwa upande wa spea. honda na boxer spea zao ni gharama kama unachukua spea origino.
lakini kwasasa kuna spea za honda za kichina na hata boxer wana spea za kichina kwahiyo watu wengi kwasasa wanakimbilia spea za kichina kwa sababu ya bei rahisi. kama unataka spea genuine ongeza hela uchukue spea origino.
 
Back
Top Bottom