Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

IMG_20160702_122448.jpg
 
Mkuu nna Honda cb 125 ina matatizo so nilikuwa naomba kama unafaham fund mzuri unionganishe nae 0655241234 na engine yake mnauza bei gan
 
sisi ni wakala wa piki piki za Honda tu. Kama unahitaji piki piki ya fekon nenda kampuni ya fekon ofisi zao zipo kariakoo ,kituo cha bakhressa. Piki piki za sunlg wanasambaza kishen enterprises ofisi zao zipo buguruni mwananchi au nenda kwa mawakala wao wapo wengi kariakoo na mnazimmoja.
Dealer, kuna honda flani hv n za kitambo kidogo zna bomba mbili za kutolea moshi, muundo wake n km trailer flan sema hizo seat na tank la mafuta vpo flat, zna mlio km wa chopper flan hv, unaikumbuka hyo model.......??
 
Mkuu nna Honda cb 125 ina matatizo so nilikuwa naomba kama unafaham fund mzuri unionganishe nae 0655241234 na engine yake mnauza bei gan
chukua

hizi hapa anaitwa asaria- 0753-637696. au 0684-837696.
 
Dealer, kuna honda flani hv n za kitambo kidogo zna bomba mbili za kutolea moshi, muundo wake n km trailer flan sema hizo seat na tank la mafuta vpo flat, zna mlio km wa chopper flan hv, unaikumbuka hyo model.......??

hizo hatuna watafute wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu japan wanaweza kukusaidia.
 
Na Engine yake kama ipo Sh ngap
Engine complete ya honda ace 125 inakuwa haijawa assembled. zinauzwa parts zake kwa pamoja kuanzia block, gasket, piston ring, crankshaft, nk fika ofisi yetu ya msasani nikupe listi spea zote za engine.
 
Carburetor yake original sh ngap
 
Back
Top Bottom