Mnazileta lini tena? Kama nina exemption naweza pata nafuu ya sh ngapi?4. Honda XL 125-Bei ni mil.7.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka. (zimeisha)
kama unaomba exemption maana yake unataka tukuuzie pikipiki bila vat na hio process yake unatakiwa uwe na tax exemption kutoka TRA na unaleta hio copy ya exemption na copy ya tin certificate yako, Sisi tunakuuzia pikipiki bila VAT.Mnazileta lini tena? Kama nina exemption naweza pata nafuu ya sh ngapi?
hizo CG 110 Ni mil 1.650 tshs. imebaki moja na kuna wadau wanaulizia hizo pikipiki.Bei gani mkuu?
sawa bosi, karibu muda wowote.Sawa,basi mpe hiyo kwa vile nipo mbali sana...ukileta tena,tufahamishane.
kuna toleo mpya honda ace 125 zimekuja na stata. hujaziona mtaani??? basi njoo ofisini kwetu msasani uzicheki. au ingia page yangu ya facebook ya lode mpemba utaona video za pikipiki za honda toleo mpya.Ubaya wa hii mipikipiki haina starter kinadhifu hadi mtu uchochee kick
Tsh. Ngapi?kuna toleo mpya honda ace 125 zimekuja na stata. hujaziona mtaani??? basi njoo ofisini kwetu msasani uzicheki. au ingia page yangu ya facebook ya lode mpemba utaona video za pikipiki za honda toleo mpya.
mil 3.650.Tsh. Ngapi?