Habari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki Toleo mpya za Honda kutoka Quality Motors ltd. Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom yetu ya Msasani karibu na Hospitali CCBRT, Msasani.Dar. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu. Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mizigo.
Aina za matoleo ya Honda ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;
1. Honda CG 110-Bei mil.1.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.(
Zimeisha)
2. Honda Ace 125 CBD- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda Ace 125 CB- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda Ace 125 CBD Toleo la Zamani. Bei Mil 3.0 usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil. 3.5 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda XL 125-Bei ni mil.7.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka. (
zimeisha)
kwa mawasiliano zaidi fika, Fika Ofisi zetu za msasani kituo cha macho. Au piga simu
0717518359. 0689866100. Barua pepe-
jonelias6@gmail.com
Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.