Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

Tenk za mafuta za CG 110 zinapatikana hapo kwenu?
njoo ofisi zetu za tazara, kitengo cha spare pale wanauza matenki ya honda cg 110 hata kama zimeisha watakuelekeza sehemu za kununua.
 
Tazara sehemu gn?
ukishapita mataa ya changombe, utakuwa upo barabara ya pugu, utafika jengo la Quality center, kuna service road inendelea mbele fuata hio njia utaona jengo la posta kisha jengo linalofuata garage ya car wash na kufunga matairi hapo hapo ofisi za honda zipo.
 
tuf 125.jpg
 
HONDA CG 110 ZIMEPUNGUZWA BEI. SASA UNAWEZA KUIPATA KWA MIL 1650000/. TU. NJOO OFISI YETU YA MSASANI, AU SIMU 0689866100. WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFIRISHIA.
cg 110 3.jpg
 
Back
Top Bottom