Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

TX2.jpg
 
Million 7 hapo napata vits na inabaki by the way hata zile KTM zinauwa mpaka 20 Million zile za Australia s
 
mkuu vipikipiki vile ambavyo havina gear vya wadada mnavyo?????

Tulikuwa nazo honda Dream 110 scooter, lakini kwa sasa hatuna tena kwasababu kiwanda kimeacha kutengeneza tena.
 
Pikipiki za honda ni imara na zinadumu muda mrefu sana, kama kweli wahitaji usafiri wa pikipiki ambao haukusumbui kwenye spare basi Honda ni chaguo sahihi. engine yake ni imara ambayo imetengezewa kwa utaalamu wa hali ya juu, inayo uwezo wa kumudu safari ndefu na mazingira yote magumu.

Changamoto ya Honda ambayo tunayo kwasasa ni kwamba bei za pikipiki zinapanda kila mara kutokana na mfumuko wa dola kupanda na kuongezeka kwa makato ya kodi bandarini. hivyo basi kama una bajeti ya kununua pikipiki ya honda basi ni bora ununue pikipiki kipindi hiki kwasababu itafika miezi mitatu baadae bei zitabadilika tena na inabidi upange kuongeza bajeti tena ya kununua pikipiki.
Naamini Uongozi wa kampuni unaangalia uwezekano wa kupunguza bei za pikipiki lakini hio ni mchakato mwingine ambao utachukua muda.
kwa anayehitai pikipiki za honda aje ofisini kwetu msasani au apige simu 0717518359.
 
Ni nashida na engene ya hiyo honda bei yake inaendaje?!!
Honda engine haziji complete set, kwahiyo inabidi tukupe bei ya part kimoja kimoja kuanzia block, piston, ring, oil seals, cylinder gasket, n.k. njoo ofisini kwa maelezo zaidi au nitafute kwenye simu
 
mkuu picha hizo hapo nimekutumia. Bei yake ni kubwa kutokana na quality yake na ubora wake ni mkubwa pamoja na uwezo wa kutembea bara bara zote za rough road na uwezo wa kubeba mizigo mizito. wadau wanaoifahamu wanaita piki piki ya shamba. Engine yake tu ni mkataba wa miaka 5 na zaidi. Bei yake mbona sio ya kutisha.
Hivi unafahamu kwamba kuna piki piki za Honda za miliion saba mpaka million kumi na tano. Nenda vile vile kampuni ya Yamaha kaulize Bei za piki piki zao.
Honda ACE TUFF 125 Kwa hiyo bei unafanya wizi
 
Honda ACE TUFF 125 Kwa hiyo bei unafanya wizi
sasa kwanini usije ofisini kuuliza bei za pikipiki mwenyewe kabla hujaposti tuhuma??? hio posti ulioni quote ni ya kitambo sana na nilikuwa namjibu mteja mmoja kuhusu bei ya pikipiki ya Tuff 125 ambayo wakati huo ilikuwa Bei ilikuwa Mil 3.4 kwasasa bei imeshapanda imekuwa Mil 3.5. hizi bei zimewekwa na uongozi wa kampuni. Quality Motors Ltd
 
HONDA ACE CBD 125 ZIMEKUJA ZIPO STOCK, WAHI SASA UCHUKUE MALI YAKO KABLA HAZIJAISHA.

WP_20160405_18_16_42_Pro.jpg
 
HONDA CG 110 AKA KIBAO CHA MBUZI AKA ROHO YA PAKA.

WP_20160402_13_10_23_Pro.jpg
 
hizo Honda ni mhindi si mjapani.
tunazo xl hapa ofisini.
Pikipiki za honda zinatengenezwa na nchi mbali mbali. kwa mfano, kuna viwanda vya Honda vipo china, india, malaysia, thailand, dubai, Brazil, marekani, Denmark, UK, na sehemu zingine.
Kwa hizi Honda Xl 125 tunazo ziuza hapa bongo zinatoka South Africa.
 
Back
Top Bottom