Pikipiki za honda zinauzwa

WALE WADAU WALIOKUWA WANATAFUTA SPEA ZA HONDA ACE, TUF NA TAXI. SPEA ZIPO ZINAPATIKANA.
SPEA KAMA SPOCKET, CHAIN, SWITCH, RIM, PISTON, SPEEDOMETER, TAA ZA MBELE, INDICATOR, HUB, TIMING CHAIN, ROLLERS, SHOCK UP ZA MBELE NA NYUMA, BRAKE SHOE, CARBURATOR, FOOT REST, FORK SEAL, OIL SEAL, VALVE SEAL, BRAKE CABLE, CLUTCH CABLE, ACCELERATOR CABLE, SIDE MIRROR. NK.

KARIBU DUKA LETU LA MSASANI, DAR. WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFIRISHIA MZIGO. SIMU - 0717518359, 0689866100.
 
ace 2.jpg
 
Hi
Mkuu mnaweza kuwa na Honda African Twin 750?.

Huyo ni mnyama aisee. Naomba na bei kabisa

Hizo pikipiki hazina soko kwa hapa tanzania, ungejaribu kucheki south Africa ndio wanauza hizo pikipiki. Sisi na watu wa sales tu na mabosi wa kampuni ndio wanaopanga na kuagiza aina gani za Honda ziletwe hapa bongo.
 
Hi


Hizo pikipiki hazina soko kwa hapa tanzania, ungejaribu kucheki south Africa ndio wanauza hizo pikipiki. Sisi na watu wa sales tu na mabosi wa kampuni ndio wanaopanga na kuagiza aina gani za Honda ziletwe hapa bongo.
Poa kaka. Nikajua mnapokea special order kama mtu akihitaji
 
Nahitaji engine ya honda xxr 500 ni toleo la 1984 vinginevyo mkono wake na rings zake
 

Attachments

  • Xr500.jpg
    Xr500.jpg
    7.8 KB · Views: 129
Habari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki Toleo mpya za Honda kutoka Quality Motors ltd. Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom yetu ya Msasani karibu na Hospitali CCBRT, Msasani.Dar. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu. Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mizigo.

Aina za matoleo ya Honda ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;

1. Honda CG 110-Bei mil.1.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.(Zimeisha)
2. Honda Ace 125 CBD- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda Ace 125 CB- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda Ace 125 CBD Toleo la Zamani. Bei Mil 3.0 usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil. 3.5 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda XL 125-Bei ni mil.7.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka. (zimeisha)

kwa mawasiliano zaidi fika, Fika Ofisi zetu za msasani kituo cha macho. Au piga simu
0717518359. 0689866100. Barua pepe- jonelias6@gmail.com

Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.
Naweza kupata Honda XR600?
 
honda cg 110 kibao cha mbuzi hii hapa imebaki moja, bei mil 1.6. ipo msasani tu hamna sehemu nyingine tena. mteja serious aje ofisini au simu 0717518359. wahi sasa kabla haijauzwa

IMG_20160625_130310.jpg



 
Back
Top Bottom