Pikipiki za honda zinauzwa

WP_20160220_13_03_29_Pro.jpg
 
nimecheka lakini pia nimesikitika sana kusoma hii post ..... yaani ina maana nyumba nyingi za tembe na udongo zisizo na hata choo ambazo ndizo nyingi Tanzania ndiyo ubora Wa maisha? .....

teh teh teh ... kazi kweli kweli
Hahahaha
 
1. Honda CG 110-Bei mil.1.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.(Zimeisha)
2. Honda Ace 125 CBD- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda Ace 125 CB- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda Ace 125 CBD Toleo la Zamani. Bei Mil 3.0 usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil. 3.5 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
 
Hivi zile honda za hivi zilikwenda wapi? Si zilikuwa ngumu hizi.na zilikuwa zinakula mzigo
 

Attachments

  • Screenshot_2017-02-20-23-34-37.png
    Screenshot_2017-02-20-23-34-37.png
    283.1 KB · Views: 90
Honda TUF 125 ni kickstarter. kwa Piki piki ya Honda yenye engine ya 125 cc inauwezo wa kutembea mpaka KM 160 au mpaka KM 220 bila kupumzika. zaidi ya hapo utachemsha na kuunguza engine . Honda za engine kubwa kama 200cc mpaka 250 cc hizo zinaweza kutembea umbali mrefu zaidi ya hapo.
Dar mpaka Songea ni umbali wa KM 1000. kwa piki piki ya 125 cc haitaweza safari hio. ni bora upakize piki piki kwenye lori usafirishe ipelekwe huko. Sidhani kama kuna dereva ambaye atakubali kuendesha umbali mrefu wa KM 1000 na piki piki.
kama picha nilizotuma hujaziona basi nipe namba yako ya whatsapp nikutumie. Asante.
0784 821973
 
Back
Top Bottom