Pika bom ya star TV ni zaidi ya comedy zote hapa Tanzania

Alaaa! Kumbe hiki ni kipindi cha tv sio?

Mie nimewahi kutumiwa clip zake kwenye sim. Ni kweli inachekesha.

Sasa inaletwa lini na saa ngapi?
 
Mbona hamtujuzi muda ambao kipindi kinaruka wadau, wengine tunataka tuone kwanza ndo tuje na maoni hapa.


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
sio promo. ze komedy tupa kule, original comedy tupa kule,futuhi tupa kule jamaa wako poa inapendwa na watoto,wazee, watu wazima wanapenda.haina siasa wala kumpa big up mtu hapa town. ni kama katuni vile lakini wapo makini zaidi ya wote kilikou.

Pika bom inaonyeshwa saa ngap?
 
Back
Top Bottom