Pika bom ya star TV ni zaidi ya comedy zote hapa Tanzania

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
5,915
0
Sio promo, ze komedy tupa kule, original comedy tupa kule, futuhi tupa kule jamaa wako poa inapendwa na watoto, wazee, watu wazima wanapenda. Haina siasa wala kumpa big up mtu hapa town. Ni kama katuni vile lakini wapo makini zaidi ya wote kilikou.
 

BJBM

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
587
500
Hawa jamaa wa pikabom nawakubali sana hasa ile clip yao ambayo wanaimba wimbo wa kuisifu mbege.
 

danali

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
1,138
2,000
Nakubaliana nawe japo nimepata kuiangalia mara chache tu ila sikujutia muda wangu tofauti na hizi comedy za wadogo zetu wanaojidhalilisha kwa kutafuta pesa
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
 

Balozi wa Dodoma

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
477
225
sio promo.
ze komedy tupa kule,
original comedy tupa kule,
futuhi tupa kule

jamaa wako poa inapendwa na watoto,wazee, watu wazima wanapenda.

haina siasa wala kumpa big up mtu hapa town. ni kama katuni vile lakini wapo makini zaidi ya wote kilikou.

KUNA AINA NYINGI ZA COMEDY WE DOGO. FANYA RESEARCH KWANZA UJUE KABLA YA KU COMPARE NA KU CONTRAST IZO COMEDY

HAPO UME COMPARE AINA TATU TOFAUTI ZA COMEDY,UMEZIFANYA ZOTE ZIONE KANE KM KUNDI MOJA.
KUWAFANANISHA HAO NA ZE COMEDY, AU FUTUHI SI SAWA.

1. Character Comedy¡úhii ina
Derives humor from a personal invented by a performer; often from stereo types ,kwa mfano
hao Ma zumbukuku A.k.a Boom ya STAR T.V

2. Cringe Comedy¡úNi
comedy of embarrassment, in which the humour comes from in appropriate actions or words;
usually popular in television shows and film, but occasionally in stand-up as well
Mf. Evance Bukuku Comedy Show ya Clouds T.v

3.Dead pan comedy¡ú Hii sio
strictly a style of comedy, it is telling jokes without a change in facial expression or change of emotion.
Mfano, Ze comedy,Orijinal Comedy na FUTUHi.

So wakati mwingine ukileta mada specify kwanza ili kuifanya mada iwe narrow kwa wachangiaji
 

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,736
2,000
Haha napita tu kwanza...nakumbuka ule wimbo wa zombi na mg'oa kucha na meno haha jamaa so funny plus ubunifu
 

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,736
2,000
KUNA :confused:HAINA :confused:NYINGI ZA COMEDY WE DOGO. FANYA RESEARCH KWANZA :mad:HUJUE:):mad: KABLA YA KU COMPARE NA KU CONTRAST IZO COMEDY

HAPO UME COMPARE AINA:thumbup: TATU TOFAUTI ZA COMEDY,UMEZIFANYA ZOTE ZIONE KANE KM KUNDI MOJA.
KUWAFANANISHA HAO NA ZE COMEDY, AU FUTUHI SI SAWA.

1. Character Comedy¡úhii ina
Derives humor from a personal invented by a performer; often from stereo types ,kwa mfano
hao Ma zumbukuku A.k.a Boom ya STAR T.V

2. Cringe Comedy¡úNi
comedy of embarrassment, in which the humour comes from in appropriate actions or words;
usually popular in television shows and film, but occasionally in stand-up as well
Mf. Evance Bukuku Comedy Show ya Clouds T.v

3.Dead pan comedy¡ú Hii sio
strictly a style of comedy, it is telling jokes without a change in facial expression or change of emotion.
Mfano, Ze comedy,Orijinal Comedy na FUTUHi.

So wakati mwingine ukileta mada specify kwanza ili kuifanya mada iwe narrow kwa wachangiaji

Naona H zinakutiza sana mkuu!!
 

mfwimi

Member
Sep 28, 2012
59
0
Bila hata kujua ni aina gan ya Kwao mie nawakubali mnoo ni wabunifu na wanakwenda na wakati big up sana
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
5,658
2,000
sio promo. ze komedy tupa kule, original comedy tupa kule,futuhi tupa kule jamaa wako poa inapendwa na watoto,wazee, watu wazima wanapenda.haina siasa wala kumpa big up mtu hapa town. ni kama katuni vile lakini wapo makini zaidi ya wote kilikou.

Kwanza lile jina lao tu PIKABOMU. Naweza ku-imagine mtu mwenye akili ya kuweza kuamua KUPIK BOMU, na matokeo atakayokumbana nayo thereafter!
 

IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
2,590
2,000
Aisee kumbe tuko wengi...mm taarifa ya habari toka redio mkoloni ndo huwa inaniacha hoi... Na siku hizi hiki kipindi kinaruka saa ngapi wadau..mwanzo ilikuwa kila j،tatu sa 3:30 usiku, ila siku hizi kimenipote mwenye kujua time atujuze tafadhali...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom