Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,570
Niliwaambia mapema pro Hillary and Democratic kwamba hizi kashfa dhidi ya trump nyingine huibuliwa na wanaomtaka Trump. Niliwaambia pigo kubwa kabisa kwenye kambi ya Hillary linakuja kutokea dakika za mwisho kabisa na nikawaonya kuwa Wikiliks na Snowden ni projects zilizoandaliwa kitambo sana kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu.Najiuliza kama FBI wakikuta kwamba kweli alituma nyaraka za siri kwenye barua pepe binafsi uchaguzi utaendelea kweli?
Halafu kwa hali ya Mashariki ya kati ilivyo kweli kutakuwa na ahueni chini ya utawala wa huyu mama?
Kwa kifupi uchaguzi wa mwaka huu si wa kumrithi Obama tu, Bali Marekani wanafanya transitioning kubwa ya power kutoka hawa elites wa zama hizi kwa ajili ya Ku reform America na Ku review american interests kama bado zipo valid kuwa American Interests.
Ni mageuko hayo tumeshuhudia kwa mara ya kwanza rais wa Marekani aki side na mgombea mmoja....hats wale wanaofaidika na interest za Sasa wakiungana pamoja si kumpinga Trump tumuanaye Bali anacho kiwakirisha Trump.
America inaingia kwenye transitioning kubwa sana, na ili kufanikiwa italazimika kuuachia 'ugalme' ili wakajipange.