Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

Nionapo siyo uonapo, naona uonapo. Endelea na habari zako, ila jifunze kwa wenzako, usiishie kuwafahamu Clinton na Trump kwa sura zao.
Mkuu heshima yako, watu wengi wanaishia kushangilia kauli za Trump na Ubabe wake, hawataki kuenda mbali ili kujua Clinton na Trump wanawakilisha nini na nani kwa manufaa gani. Hawajui kuwa ni Vita kubwa sana inayopiganwa nyuma yao. Pamoja na weakness zote za wagombea lakini no matter what bado wafuasi wao wako nyuma yao. Mfano Trump na kashfa ya wakina mama, Hata alipomuita Clinton nasty woman bado supporter wake wako nyuma yake.
 
Sana, hasa wakisha Ku mark wanakua wamekujengea image yao, Sasa unapoibadirisha inachukuliwa kama vile umebadiri wajihi...hapo hata wakisoma comments zako wanakua kama dots hazi connect
Daaah basi Mimi niliweka picha yangu ya kuchorwa nkajua watu hawatilii maanani sana.
 
Kama hilaly hatakamatwa,uwezekano wa kushinda ni mkubwa,japoi nilitaka Trump awin
 
Kama hilaly hatakamatwa,uwezekano wa kushinda ni mkubwa,japoi nilitaka Trump awin
 
Najiuliza kama FBI wakikuta kwamba kweli alituma nyaraka za siri kwenye barua pepe binafsi uchaguzi utaendelea kweli?
Halafu kwa hali ya Mashariki ya kati ilivyo kweli kutakuwa na ahueni chini ya utawala wa huyu mama?
Yani hapo Mkuu kila nikajiuliza huyu mama kuhusu mashariki ya kati sipati jibu kabisa.

Na istoshe hata hao washirika wake wakuu wa Ulaya, sijui wataweza kubuluzwa hata kama kuna vingine havina msingi wa faida
 
It is over for crooked Hillary!
 
Attachments

  • 1478027351136.jpg
    1478027351136.jpg
    53.3 KB · Views: 31
Trump kasema kuwa tumeshinda na kuongoza hata kabla ya hii kashfa ya Clinton kutokea,
magumashi ya kupewa maswali ya interview kabla ya siku kufika mpaka America yapo, Democratic mwaka huu wameumbuka kweli kwa siasa zao chafu kumpa urais mgombea wao
 
No chance....Hillary will win this in landslide
 
Kama hilaly hatakamatwa,uwezekano wa kushinda ni mkubwa,japoi nilitaka Trump awin
Akamatwe kwa mpango gani? hii michezo ya Benghazi na email wanaosikiliza ni Republicans tuu maana ndio namna iliyobaki kutafutia kura
 
Back
Top Bottom