Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

Umenena vema Malcom Lumumba; hongera sana kwa kurejesha avatar yako asili, safi sana.
Kama MALCOM LUMUMBA angechelewa kidogo kurudisha avatar yake asili, basi 'ningeandamana'
Mimi niliwahi kubadirisha ya kwangu, kuna dada back then akiitwa Russian Roulette akaniomba niirudishe kwani kwake ina maana kubwa sana. Nami kwa heshima na aporeciations nikairudisha
 
Kama MALCOM LUMUMBA angechelewa kidogo kurudisha avatar yake asili, basi 'ningeandamana'
Mimi niliwahi kubadirisha ya kwangu dada back then akiitwa Russian Roulette akaniomba niirudishe kwani kwake ina maana kubwa sana. Nami kwa heshima na aporeciations nikairudisha

Hivi kumbe watu wanazipa Avatar uzito mkubwa hivyo?
 
Wamarekani wakimchagua clinton makosa yatakuwa yanajiludia ludia kwa sababu wanao kuwa wanawachagua ni wale wale kasolo majina.

Na kwa saizi trump ndio mtu sahihi ambaye anaweza kuiletea heshima marekani.
 
Aiseee uchaguzi wa mwaka huu ni balaa!!

Go Trump.
 
Trump bila kashfa ya grab em by the p***y na evading taxes alikuwa anachukua urais bila wasi,lakini hv ss ni mbinde
 
Back
Top Bottom