PauliMasao
JF-Expert Member
- Nov 26, 2007
- 286
- 39
Naona meningitis imekukamata vizuri!
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!
Sioni uwepo wa kampeni za lema huku A town!
acha mazingaumbwe. hamtapona kwa huu usaliti.mda mfupi ujao utakuwa kichaa
Arusha kunayo maccm? Pumbavu zako.
Unaishi Arusha kweli wewe !!!????
Sioni uwepo wa kampeni za lema huku A town!
nakuonea huruma arusha hata akogombea kikwete hapati
Nilikuw hai,Hata mbowe asipopiga kampeni CCM haishindi
kwa kuwa una meningitis nimekusamehe bure!
HAI ni Mallya tu!Mbowe na hadaa za ambulance!
Wewe unajifurahisha tuu,hata picha za huyo mgombea hazipo popote.Mimi niko huku hakuna kitu mwulize Samia kilichomkuta na malendicruza yake sehemu inayoitwa"kyaliandio utajua unajifurahisha kwani hata huyo mbuge hakutokea
Jeshi la Magufuli limejipanga kuangusha kila ngome ya upinzani.... Kazi kwenu mnaosubiri matumaini yasiyo na tija
Unganeni na Dr. Magufuli kwenye safari ya mabadiliko ya kweli