Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Issues za humu huwa ziko overrated sana bila hata tarakimu.

Eti Arusha hakuna CCM ilhali Lema kachukua jimbo kutoka CCM mwaka 2010 na hakufikisha hata 55% ya kura zote.

Hiyo 38% waliyopata CCM 2010 imehamia wapi?

Matokeo ya serikali za mitaa yalikuwaje 2014?

Kama Arusha hakuna CCM Lowassa asingeenda kutangazia nia huko akiwa CCM na akapata ile nyomi.

Halafu kama Zitto pekee aliondoka na wafuasi wake ni ujinga kuamini eti Slaa ambaye alikuwa katibu mkuu kaondoka na mkewe tu.


CCM wenyewe hawakusema Tanzania hakuna upinzani nchini waliposhinda kwa 80%,itakuwa aliyeshinda kwa <55%?
 
Na bado hawajasema, Dr.Slaa aliweza kuzunguka mwenyewe sasa huyu wa dk 3-5 za kuongea imeonekana ni mzigo kwa UKAWA, lakini pia kwa kuwa yy ndo kachukua fedha ya mamvi inabidi amsaidie kampeni, ila ni vema wananchi wa jimboni kwake wamnyime kura ili ajifunze kutofanya upuuzi kama huo tena. Hata mzee wa mana Tanzania Mbatia na yy pia hali yake tete kwenye jimbo la baby(Mrema)

bora wengine wakiandika utumbo wanalipa wewe vumbi umelipwa sh ngap?
 
kati ya maeneo ambayo yamepata jibu la milele ni arusha, walikuwa kwenye njia panda, kwasababu wanampenda sana lema, na wanampenda sana lowasa. lema yuko chadema na lowasa alikuwa ccm, sasa wakawa wanashindwa ni namna gani wafanye, kuanzia leo, lowasa na lema wapo chadema, solution imepatikana arusha yote ni chadema. jimbo hilo tumejihakikishia. kilimanjaro, iringa, mbeya, dsm na maeneo mengi, chadema tu. mwaka huu mtalia hadi machozi meusi.

Mbona unaisahau Rock City?
 
Wewe unaota ndoto za mchana A.town kurudi ccm?camon meeeeen!!!
 
Hali ni ngumu sana kisiasa Arusha na Hai uwezekano wa Majimbo haya kwenda Ccm ni Mkubwa.
Jimbo la Arusha wananchi wanasema wamechukizwa kuondoka kwa Slaa hvyo hawaoni sababu ya kubaki na Chadema
Hai nako wananchi wanasema wamechoshwa na Mbowe yeye hawaoni wananchi amebaki kuzunguuka na Lowasa ametelekeza Jimbo tumchague yeye nani? ...
Kwaheri Ukawa Hai na Arusha

That is an outright lie. Slaa yupi ? Yule babu na padri mzinzi? Forget. Peepooz!
 
meningitis hadithi hadithi hadithi noo urongo njoo....ndoto ya ndaria hiyo ya kubeba bua akidhani muwa
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.

NOTE MY WORDS !!
 
Na bado hawajasema, Dr.Slaa aliweza kuzunguka mwenyewe sasa huyu wa dk 3-5 za kuongea imeonekana ni mzigo kwa UKAWA, lakini pia kwa kuwa yy ndo kachukua fedha ya mamvi inabidi amsaidie kampeni, ila ni vema wananchi wa jimboni kwake wamnyime kura ili ajifunze kutofanya upuuzi kama huo tena. Hata mzee wa mana Tanzania Mbatia na yy pia hali yake tete kwenye jimbo la baby(Mrema)

Siyo vibaya ukijipa matumaini. Lakini kushindwa huna budi. Pole sana.
 
Mtoa post anajitekenya halafu anacheka mwenyewe,pole weee!!Ndoto za alinacha!
 
Baada ya kupata hilo pigo mapigo zaidi yatafuata baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi. Sehemu zinazoaminika kuwa ni ngome kuu za ukawa zina wanachama wengi zaidi wa CCM kuliko wa vyama hivyo, hata idadi ya wabunge ni kubwa zaidi kwa wabunge wa CCM kuliko wa vyama vingine. Dalili za wazi wazi za ushindi wa CCM zimeshaanza kujionesha, huo ndiyo mwisho wa upinzani kwenye ngome hizo
 
mimi ni mpiga kura wa jimbo la hai..yaelekea mleta uzi hawajui vizuri wana hai...hai itabaki chadema daima..
 
Tatizo humu ktk jamvi watu wana mahaba kupindukia,yalisemwa mengi ooh mama Samia hatopata watu wakumsikiliza ktk mikutano yake ya kuomba kura akienda Kanda ya Kaskazini,matokeo yakawa tofauti,cha msingi kila mmoja atoe yaliyoko moyoni mwake na wachangiaji wamjibu kistaarabu na siyo matusi,la sivyo Mtandao huu utakosa hadhi na heshima kama ulivyoasisiwa na kusimamiwa na watu wenye weledi wa hali ya juu.
 
Tulieni jamani, yeyote atakae shinda -mambo ni yale yale tu hakuna miujiza Zaidi ya kuwa wachapa kazi wa dhati
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.

NOTE MY WORDS !!

Nipo Arusha ndugu yangu na hakuna dalili zozote CCM kushinda Arusha mjini na majirani zake. Andikeni maumivu
 
Back
Top Bottom