Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Huyo,mgombea wa ccm hai ndg malya kwny kampen zake walikuwa wanafika watu 2 sembuse.ushindi?
upo boma ipi mkuu ?mnapost tuu ad uongo..ww hai ip au boma ip unaijua?? au n ile kngereka yenye vjccm vchache?shame upon you!!itifiki izngatiwe makamanda tunalinda..;;bora majshngo kulko majpua?!!!f.**"""*off sham upon u na uongo wako
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!
Wassira alitabiri hivyo lakini kasambaratika yeye.Chadema kusambaratika
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!