Arusha ikichukuliwa na CCM ntajitoa jf maisha!
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!
Issues za humu huwa ziko overrated sana bila hata tarakimu.
Eti Arusha hakuna CCM ilhali Lema kachukua jimbo kutoka CCM mwaka 2010 na hakufikisha hata 55% ya kura zote.
Hiyo 38% waliyopata CCM 2010 imehamia wapi?
Matokeo ya serikali za mitaa yalikuwaje 2014?
Kama Arusha hakuna CCM Lowassa asingeenda kutangazia nia huko akiwa CCM na akapata ile nyomi.
Halafu kama Zitto pekee aliondoka na wafuasi wake ni ujinga kuamini eti Slaa ambaye alikuwa katibu mkuu kaondoka na mkewe tu.
CCM wenyewe hawakusema Tanzania hakuna upinzani nchini waliposhinda kwa 80%,itakuwa aliyeshinda kwa <55%?
Mkuu dalili za kukata tamaa na tunnel vision imesha-set in kwa hawa wana Ukawa wamekuwa kichwa cha mwendawazimu
Ngoja niongeze, Moshi mjini, tunduma, Iringa mjini, nyamagana, kibamba, Kawe, segerea, Ubungo, na la Tundu Lissu 
#HapaKaziTu
Naona vijana wa lumumba mnaojitahid kuota ndoto za mchana
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!