Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

uyu alianzisha uhu uzi lazima atakuwa ni demu wa makufuli na atakuwa lazima ajaishi tz miaka ya ivi karibuni wala aijui arusha uyu ccm uku akunaga wamebaki wapangaji ndani nyumba ambazo ccm wanadai ni zakwao ila natumaini lowasa atalifanyia kazi baada ya tr.25
 
...walioko sisiem ni waoga wa mabadiliko yani ukimuuliza mtu utasikia ngoja uchaguzi uishe eti sijui utajificha wapi..maba
 
Kama huna chakuandika bora usome vya wenzako,unaijua Hai au unakurupuka tu kama popo,hai tunaanza diwani,mbunge mpaka rais ni LOWASA,wadanganye wasiojua
 
uyu alianzisha uhu uzi lazima atakuwa ni demu wa makufuli na atakuwa lazima ajaishi tz miaka ya ivi karibuni wala aijui arusha uyu ccm uku akunaga wamebaki wapangaji ndani nyumba ambazo ccm wanadai ni zakwao ila natumaini lowasa atalifanyia kazi baada ya tr.25

CCM wamejaa tele Arusha usituletee akili ya Viroba.LOWASSA labda atakuwa Raisi wa nyumbani kwako sio Tanzania
 
Mkiona miti na majani MOSHI na ARUSHA mnafikiri ni watu wamevaa sare za ccm?ni mti.subiri 25/10/2015
 
Hali ni ngumu sana kisiasa Arusha na Hai uwezekano wa Majimbo haya kwenda Ccm ni Mkubwa.
Jimbo la Arusha wananchi wanasema wamechukizwa kuondoka kwa Slaa hvyo hawaoni sababu ya kubaki na Chadema
Hai nako wananchi wanasema wamechoshwa na Mbowe yeye hawaoni wananchi amebaki kuzunguuka na Lowasa ametelekeza Jimbo tumchague yeye nani? ...
Kwaheri Ukawa Hai na Arusha
 
Na bado hawajasema, Dr.Slaa aliweza kuzunguka mwenyewe sasa huyu wa dk 3-5 za kuongea imeonekana ni mzigo kwa UKAWA, lakini pia kwa kuwa yy ndo kachukua fedha ya mamvi inabidi amsaidie kampeni, ila ni vema wananchi wa jimboni kwake wamnyime kura ili ajifunze kutofanya upuuzi kama huo tena. Hata mzee wa mana Tanzania Mbatia na yy pia hali yake tete kwenye jimbo la baby(Mrema)
 
Nitakua kichaa ndio! Kwa kuiona ccm ikichukua majimbo haya kiulaini kuliko ilivyotarajiwa!

Hata ikichukua ccm, UKAWA nao watachukua sehemu nyingine ya ccm hio ndo demokrasia; yaani usipo mpenda mgombea badilisha hata chama. Lakini yao ndo ccm hawawezi kukubali kwamba wamechokwa waachie nchi waje wengine. Viva UKAWA!
 
nyie ni wale wale mnaotakiwa mpimwe akili yaan hayo mjimbo yakirudi ccm nahamia kenya

Tatizo kako na ww upo kama Lowasa, ww upo Dar alafu unajifanya unajua mambo ya majimboni hata kiliko walioko site, kwa hali hiyo ns ww unasoma kwenye wesite co, basi ongera sana.
 
Hali ni ngumu sana kisiasa Arusha na Hai uwezekano wa Majimbo haya kwenda Ccm ni Mkubwa.
Jimbo la Arusha wananchi wanasema wamechukizwa kuondoka kwa Slaa hvyo hawaoni sababu ya kubaki na Chadema
Hai nako wananchi wanasema wamechoshwa na Mbowe yeye hawaoni wananchi amebaki kuzunguuka na Lowasa ametelekeza Jimbo tumchague yeye nani? ...
Kwaheri Ukawa Hai na Arusha

Hivi nyie huwa mnawahoji Wananchi wa wapi???
 
ww si mpiga kura wa jimbo la Hai waache wana hai wenyewe hujatumwa kuwasemea wao wana imani na mbowe
 
Back
Top Bottom