Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa chadema na Ukawa kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda ccm.

NOTE MY WORDS !!
kati ya maeneo ambayo yamepata jibu la milele ni arusha, walikuwa kwenye njia panda, kwasababu wanampenda sana lema, na wanampenda sana lowasa. lema yuko chadema na lowasa alikuwa ccm, sasa wakawa wanashindwa ni namna gani wafanye, kuanzia leo, lowasa na lema wapo chadema, solution imepatikana arusha yote ni chadema. jimbo hilo tumejihakikishia. kilimanjaro, iringa, mbeya, dsm na maeneo mengi, chadema tu. mwaka huu mtalia hadi machozi meusi.
 
Ha ha ha ha haa hayo majimbo hata nyerere afufuke leo asimamishwe hatoboi... Nenda gengeni kajichukulie malimao na ndimu naona una vichefu chefu vya rejareja

Huijui Arusha...nimezaliwa Arusha
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa chadema na Ukawa kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda ccm.

NOTE MY WORDS !!

Wazalendo ni wepi?

ACT au?

Mkuu leo siasa zimebadilika na namwona Kitila Mkumbo hapa anakili hili hapa....
 
Sikitiko langu kubwa ni kuona kwamba kumbe bado wapo watu ambao bado wangetamani kuongozwa na marehemu ccm. Huyo kisha jifilia kile kifo kitakatifu cha mende.
Unatamani ati Arusha iende ccm kwa hasira ya EL kwenda CDM?? Huna hata mshipa wa faham ulio baki? Yule mchawi wenyu alilewa siku ile pale Dodoma. Akawashauri vibaya, sasa yamewakuta. Nasema tena Poleni sana.
 
utaweweseka sana kuondoka kwa ccm madarakani ni mpango Wa Mungu
 
Back
Top Bottom