Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Hahaha! Hawa wajamaa wanachrkesha Kweri!!

Ndo maana nikasema hawa jamaa mda mrefu wamekuwa wakituchekesha Na sisi tulikuwa tukuwaangalia bila kucheka. Sasa nadhani ni mda muafaka wa kuwasapoti kwa kucheka wanapoanza kuchekesha.
Naomba tuwape sapoti ya kucheka wanapoamua kuchekesha kwa sababu ni dhahiri kuwa sasa hivi wamejipanga kutuchekesha.
Wacha tucheke Na vichekesho vyao.
Naanza kama ifuatavyo:
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
wengi hamzijui siasa za arusha...

Ccm arusha ilikuwa inashikiliwa na watu wawili pekee.. Edward lowassa na marehemu mzee jubilate kileo

lowassa yeye alikuwa na ushawishi kwa jamii ya kimasai na ndugu zao wote wakiwemo wameru, waarusha na wambulu. Mzee kileo yeye alikuwa na ushawishi mkubwa kwa wachagga waishio arusha ikiwemo wafanyabiashara wote wakubwa wa kichagga pale arusha. Hawa wawili ndio walikuwa wanafanya ccm inashinda arusha mjini na majimbo mengine ya mkoa wa arusha..

Picha la cdm kuichukua arusha lilianza pale mzee kileo na lowassa walivyotofautia kwenye kusimamisha mgombea wa arusha mjini. Lowassa alimtaka batilda na kileo alitaka felix mrema aendelee.. Lowassa akafanya fitna ndani ya ccm batilda akashinda... Vita haikuishia hapo, mzee kileo akarudi nyumbani kwake pale kaloleni akaita wafanyabiashara wote wakichagga na wakimeru pale arusha akawapa kazi ya kuhakikisha mpwa wake godbless lema anachukua ubunge.. Hapo ndio ccm ilipoanza kupoteana pale arusha mjini na lema kushinda kiulaini..

Mzee kileo alishafariki, aliyebaki ambaye aliishika ccm arusha ni lowassa pekee, nae sasa kashawakimbia.. Pigo la kwanza ambalo ccm watalipata ni kutoambulia jimbo lolote ndani ya arusha, manyara na kilimanjaro (labda kule upareni).. Pigo la pili linahusisha ile kauli ya mtoto wa mkulu, ccm inaweza kufutika kabisa katika mikoa hiyo.. Pigo la tatu ni lile la wafanyabiashara wakubwa wote wa arusha na kilimanjaro kuitosa rasmi ccm..

pare people kuanzia babu zao akina kisumo hadi msuya ni matraitors kanda ya kaskazini. Kisumo kaua kncu msuya tunamdai damu ya sokoine. Asha mtengeti ati katokea songea. Such a bluff! No hard feelings just speak up my mind. Nikosoeni huku mkisoma historia.
 
100% True.. Wapare ni traitors pekee kule Kaskazini.. Ila nadhani hivi vizazi vyao vya sasa vitabadilisha hilo. Hakuna kabila linaichukia CDM Tz hii kama Wapare..
 
Na bado mtaweweseka sana mwaka huu nyie ma ccm
 
pare people kuanzia babu zao akina kisumo hadi msuya ni matraitors kanda ya kaskazini. Kisumo kaua kncu msuya tunamdai damu ya sokoine. Asha mtengeti ati katokea songea. Such a bluff! No hard feelings just speak up my mind. Nikosoeni huku mkisoma historia.

Wapare hawataki ubabaishaji mazee
 
Kwa taarifa yenu... Lema kawekwa njia panda na ujao wa Lowasa Chadema... Ule urahisi wa kuupata Ubunge wa Arusha mjini haupo tena. Akicheza anaweza poteza... Watu wengi Arusha walikua wanachukia mambo za CCM ndo mana walikua hawataki CCM, sasa mambo zimehamia na Chadema, So kura zitagawanyika, kuna watakaosema bora mafisadi tunaowajua walio anza kujisafisha kuliko mafisadi wapya wenye njaa... Habari ndo hiyo..,
 
Mtengeti Ni Jina La Kipare Lenye Maana Ya Ndorobo au Mtu Wa Kuhamahama,au Kwa Jina Jingine la Kipare Mwasi Wa Nyika.
Asha Mtengeti Ni Mpare Wa Ukoo Wa Msangi.
Isitoshe CCM sasa Same Mashariki NI CHADEMA MPANGO MZIMA MAMA ANNA KABOYONGA YUPO VIZURI PALE,ANNA MALECHELA KWISHA KABISHA,MSAADA WAKE ULIKUWA LOWASA 2010,
NA YAWEZEKANA AKAWA UKAWA NDANI YA CCM.
pare people kuanzia babu zao akina kisumo hadi msuya ni matraitors kanda ya kaskazini. Kisumo kaua kncu msuya tunamdai damu ya sokoine. Asha mtengeti ati katokea songea. Such a bluff! No hard feelings just speak up my mind. Nikosoeni huku mkisoma historia.
 
Tatizo la wapiga debe wa CHADEMA wapo kama vichaa hata ukichambua kiuhalisia wanaanza kutukana sijui wanamatatizo gani? Je msipotofautiana kimawazo mtapata maendeleo? Maana kila mgunduzi duniani hakuridhika na ugunduzi wa awali yaani wa mwenzake bali anakubali kile alichogundua mwenzake na yeye anapata pa kuanzia na kukifanya rahisi zaidi!!! La maana ni kuheshimu mawazo ya mtu na kuyafanyia kazi!!!
Kama hutaki kukubali mawazo ya mwenzako bora acha kusema chochote kuliko kutukana usiyemjua bali mchangiaji tu kama wewe!!!!
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.

NOTE MY WORDS !!

pole kwa ndoto za mchana hayo majimbo hata tusipopiga kampeni ukawa tunashinda kwa 90% pole ccm mlipewa nafasi mkaichezea
 
Kwa taarifa yenu... Lema kawekwa njia panda na ujao wa Lowasa Chadema... Ule urahisi wa kuupata Ubunge wa Arusha mjini haupo tena. Akicheza anaweza poteza... Watu wengi Arusha walikua wanachukia mambo za CCM ndo mana walikua hawataki CCM, sasa mambo zimehamia na Chadema, So kura zitagawanyika, kuna watakaosema bora mafisadi tunaowajua walio anza kujisafisha kuliko mafisadi wapya wenye njaa... Habari ndo hiyo..,

Unaishi Arusha kweli wewe !!!????
 
Back
Top Bottom