Dawa ya Mjinga
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 382
- 147
Usiku huu naisikia nyimbo ya marehemu komba!
Uchuro huo mkuu1 Ni dalili mbaya ya Chama Cha Marehemu (CCM) kuwa marehemu hivi karibuni. Sera zake ni za marehemu Mwl. Nyerere nyimbo nazo za marehemu Komba. Lazima kitakuwa marehemu maana yaelekea kuwa walio hai nao wamekufa kwa kutegemea marehemu.
Wakati sisi tuna matatizo yetu Chama Cha Marehemu kinaona fahari kuwa na sera au mtu wa kumfurahisha marehemu mwalimu. Hakuna namna nyingine. Namna nzuri ya kuwaenzi marehemu hao walio bora kuliko walio hai ni kukiua chama hicho ili kiungane nao huko waliko.