Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Nampongeza sana jamaa na hakika anajitambua

​ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.hakuna waziri wa ccm asiye bilionea, gufuli anamagorofa kibao,mabasi kibao,vivuko kibao ni fisadi linalojificha ficha na mtu huyu hafai kabisa bora anaye onekana kuliko anayesajili majina ya watoto!!!!
[/QUOTE]

Naona unapata shida kusafisha uchafu,, hatutaki ukombozi utakaofanywa na watu wanaofanana na ccm,,tunataka mabadiliko ya watu wapya kabisa katika mfumo mpya kabisa na sio mfumo mpya wenye watu walewale
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

wanasoma lakini??
 
Politics is a game of numbers, whoever gets the numbers goes through. As the issues present themselves, we r seeing a new republic on the way. Its obvious the denial from the ruling part seeing that they loosing the grip, to the opposition, they can take and they will do everyhing possible ti remain in power, but its too late. I witness how Malawi Congress Party disappeared, ZANPF of Kaunda and KANU of kenya. Always, there are die hards of a ruling party. Wanasema inzi mmbishi huzikwa na maiti.
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.



NOTE MY WORDS !!

Mkuu hii post yako nikiiripoti kuwa ni uzushi nitakuwa ninakosea?

Ni vipi mtu uko dar es salaam halafu unaripoti habari za arusha? Unajua huku "vibaka" tunafanya usajili kiasi gani? Sie tunawachukua hao mnaotegemea watachukua mjimbo haya. Na Leo usije arusha vibaka tuko kazini.
 
wewe mzima kweli?arusha hai kwenda ccm?unaharibu taswira y a JF.Mwehu kweli wewe
 
Wewe punguani unaishi kweli Arusha,au unaongea tu,huku Arusha hakuna CCM

kweli mkuu yaani hawa magamba wanafanya tathimini waki sijui chooni ndo hawa wanamdanganya Jk anaropoka watashinda kumbe ndo ccm ilishakufa siku nyingi hasa huku arusha yaani hata koko wanaimba people's tuu
 
Ndo maana nikasema hawa jamaa mda mrefu wamekuwa wakituchekesha Na sisi tulikuwa tukuwaangalia bila kucheka. Sasa nadhani ni mda muafaka wa kuwasapoti kwa kucheka wanapoanza kuchekesha.
Naomba tuwape sapoti ya kucheka wanapoamua kuchekesha kwa sababu ni dhahiri kuwa sasa hivi wamejipanga kutuchekesha.
Wacha tucheke Na vichekesho vyao.
Naanza kama ifuatavyo:
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Hapa sawa. Maana kueleza tumecho, picha nazo hawaoni, nafikiri kicheko kitasaidia. Naunga mkono hoja.
 
Jamaa ana roho ngumu Arusha Mjini na Hai!!!!! Nadhani uwahi Milembe for checkup
 
Back
Top Bottom