kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,221
wewe una viral meningitisHuijui Arusha...nimezaliwa Arusha

Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!

Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe
Wengi hamzijui siasa za Arusha...
CCM Arusha ilikuwa inashikiliwa na watu wawili pekee.. Edward Lowassa na Marehemu Mzee Jubilate Kileo
Lowassa yeye alikuwa na ushawishi kwa jamii ya Kimasai na ndugu zao wote wakiwemo Wameru, Waarusha na Wambulu. Mzee Kileo yeye alikuwa na ushawishi mkubwa kwa wachagga waishio Arusha ikiwemo wafanyabiashara wote wakubwa wa Kichagga pale Arusha. Hawa wawili ndio walikuwa wanafanya CCM inashinda Arusha Mjini na majimbo mengine ya Mkoa wa Arusha..
Picha la CDM kuichukua Arusha lilianza pale Mzee Kileo na Lowassa walivyotofautia kwenye kusimamisha mgombea wa Arusha Mjini. Lowassa alimtaka Batilda na Kileo alitaka Felix Mrema aendelee.. Lowassa akafanya fitna ndani ya CCM Batilda akashinda... Vita haikuishia hapo, Mzee Kileo akarudi nyumbani kwake pale Kaloleni akaita wafanyabiashara wote wakichagga na wakimeru pale Arusha akawapa kazi ya kuhakikisha Mpwa wake Godbless Lema anachukua Ubunge.. Hapo ndio CCM ilipoanza kupoteana pale Arusha Mjini na Lema kushinda kiulaini..
Mzee Kileo alishafariki, aliyebaki ambaye aliishika CCM Arusha ni Lowassa pekee, nae sasa kashawakimbia.. Pigo la kwanza ambalo CCM watalipata ni kutoambulia jimbo lolote ndani ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro (labda kule upareni).. Pigo la pili linahusisha ile kauli ya mtoto wa mkulu, CCM inaweza kufutika kabisa katika Mikoa hiyo.. Pigo la tatu ni lile la wafanyabiashara wakubwa wote wa Arusha na Kilimanjaro kuitosa rasmi CCM..
Hilo ndio jibu rasmi la mleta mada.
Watu wengi hakika hawajui siasa za Arusha.
WanaCCM wa hapa Arusha ni kama tikiti maji.... Nje kijani ndani nyekundu.
Wengi hamzijui siasa za Arusha...
CCM Arusha ilikuwa inashikiliwa na watu wawili pekee.. Edward Lowassa na Marehemu Mzee Jubilate Kileo
Lowassa yeye alikuwa na ushawishi kwa jamii ya Kimasai na ndugu zao wote wakiwemo Wameru, Waarusha na Wambulu. Mzee Kileo yeye alikuwa na ushawishi mkubwa kwa wachagga waishio Arusha ikiwemo wafanyabiashara wote wakubwa wa Kichagga pale Arusha. Hawa wawili ndio walikuwa wanafanya CCM inashinda Arusha Mjini na majimbo mengine ya Mkoa wa Arusha..
Picha la CDM kuichukua Arusha lilianza pale Mzee Kileo na Lowassa walivyotofautia kwenye kusimamisha mgombea wa Arusha Mjini. Lowassa alimtaka Batilda na Kileo alitaka Felix Mrema aendelee.. Lowassa akafanya fitna ndani ya CCM Batilda akashinda... Vita haikuishia hapo, Mzee Kileo akarudi nyumbani kwake pale Kaloleni akaita wafanyabiashara wote wakichagga na wakimeru pale Arusha akawapa kazi ya kuhakikisha Mpwa wake Godbless Lema anachukua Ubunge.. Hapo ndio CCM ilipoanza kupoteana pale Arusha Mjini na Lema kushinda kiulaini..
Mzee Kileo alishafariki, aliyebaki ambaye aliishika CCM Arusha ni Lowassa pekee, nae sasa kashawakimbia.. Pigo la kwanza ambalo CCM watalipata ni kutoambulia jimbo lolote ndani ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro (labda kule upareni).. Pigo la pili linahusisha ile kauli ya mtoto wa mkulu, CCM inaweza kufutika kabisa katika Mikoa hiyo.. Pigo la tatu ni lile la wafanyabiashara wakubwa wote wa Arusha na Kilimanjaro kuitosa rasmi CCM..
Hivi wakati watu wanapigwa mabomu EL alikuwa wapi?Waache waendelee kujidanganya kwamba watashinda.. Hawajamwona mwenzao MUSSA ALLAN laki si pesa. na yule mmaranguoriginal ambao ni makada wa kutupwa wa CCM Arusha wameshaweka msimamo wao..
Kuzaliwa Arusha sio hoja. Niko Mianzini na makada wa CCM wote wananisumbua wanataka kadi za CDM.
Hivi wakati watu wanapigwa mabomu EL alikuwa wapi?
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.
Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.
NOTE MY WORDS !!
Heri mimi sijamjibu!!!!Kumbe hata yeye mwenyewe haelewi jina lake tafsiri yake ni matatizo ya ubongo? Sasa ana haja ya kujibiwa mtu wa hivyo?
Heri mimi sijamjibu!!!!
Heri kichaa anione mimi mnafiki kuliko kichaa anione mimi niko sawa maana nitakuwa zaidi ya kichaa, sababu wakati wote kichaa huwaona wazima ndiyo wagonjwa, unahitaji maombi utapona hujachelewa. Kama wamepona akina MUSSA ALLAN, laki si pesa kwa nini wewe usipone tunazidi kukuombea tunakupendaMtahangaika sana kuishi katika unafiki
Heri mimi sijamjibu!!!!
Labda uko oltroto ...sanawari ya juu...bado huko sio mjini.
Nitajie diwani wako