Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

He /she must be crzy,, hai ndo hometown (nlipotokea) mbowe ata campaign atopiga na bungeni atakuwepo! Ukitaka kujua ilo wamlete Jk aje apambane nae!
 
utasubiri sana, mkoa wa arusha wote tayari ushakwenda chadema
majimbo ya
LONGIDO
MONDULI
ARUMERU kwa ole medeye
NGORONGORO
haya yote yalikuwa yanachukuliwa na CCM kwa nguvu ya Lowasa
 
utasubiri sana, mkoa wa arusha wote tayari ushakwenda chadema
majimbo ya
LONGIDO
MONDULI
ARUMERU kwa ole medeye
NGORONGORO
haya yote yalikuwa yanachukuliwa na CCM kwa nguvu ya Lowasa

Jidanganye kama mimi nilivyokuwa naamini!
 
Nipo Arusha mjini..

Watu gumzo nyomi mji mzima ni cdm,ukawa ,lowassa..

Ccm mnakosa pa kushika.

Umekuwa sheikh yahya

Uko Arusha ya wapi mkuu?nitajie kijiwe kimoja tu kilichomjadili lowassa leo hii!
 
haa haa ccm imebaki msoga. kwa kaskazini hasa Arusha ccm kupata majimbo wasahau..
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.

NOTE MY WORDS !!
UKAWA nilikuwa naowaona wapo smart tangu mwanzo-lakini this unprecedented move ya Lowasa walioifanya nazan ni niseme tu wamechukua RISK-so if they are going to win in either way watakuwa HAPPY-ila wakikosa au ikiwa na majanga mengi kwao nazan watakuwa wame-learn vizuri sana-tena through PAIN na regrets
 
Mkuu sina ushabiki wa vyama ila kwa arusha mjini umechemka
 
Sikitiko langu kubwa ni kuona kwamba kumbe bado wapo watu ambao bado wangetamani kuongozwa na marehemu ccm. Huyo kisha jifilia kile kifo kitakatifu cha mende.
Unatamani ati Arusha iende ccm kwa hasira ya EL kwenda CDM?? Huna hata mshipa wa faham ulio baki? Yule mchawi wenyu alilewa siku ile pale Dodoma. Akawashauri vibaya, sasa yamewakuta. Nasema tena Poleni sana.

Mkuu kifo cha mende sio kitakatifu ni style inayotumiwa na wanadamu kwenye starehe zao
 
kati ya maeneo ambayo yamepata jibu la milele ni arusha, walikuwa kwenye njia panda, kwasababu wanampenda sana lema, na wanampenda sana lowasa. lema yuko chadema na lowasa alikuwa ccm, sasa wakawa wanashindwa ni namna gani wafanye, kuanzia leo, lowasa na lema wapo chadema, solution imepatikana arusha yote ni chadema. jimbo hilo tumejihakikishia. kilimanjaro, iringa, mbeya, dsm na maeneo mengi, chadema tu. mwaka huu mtalia hadi machozi meusi.



Waambie hata yule mama naniiiiiiiiii aliyesababisha Lema akafutiwa ubunge kwa muda atachukua kadi ya chadema, anaitwa naniiiiiiiiii bhana tena kikwete akampa nafasi ya kuwa balozi wa tz hapo Kenya


Batilda Buriani
 
Njoo kesho asbh kijiwe cha kahawa kijenge ama pale ktk mchanga na malori..
Hujitambui,kumbe upo hovyo sijajuaga.
Kijenge sio mjini mkuu!
Njoo sanawari,mianzini,sekei,philips na kaloleni!
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.

NOTE MY WORDS !!

Unajiongopea ndugu kwa kupiga ramli, nipo Arusha, Leo umeme ulikatwa wakati Lowassa anahutubia, wakati Lowassa anahutubia nilikuwa moja kati ya Bar za mjini nikinywa bia, niliona jinsi watu walivyo interested kusikia nini lowassa anasema na niliona walivyomshangilia, amini usiamini, ila Lowassa ameleta umoja Arusha na kwingine kote, Lowassa amemleta Ole Medeye Mbunge wa Arumeru Magharibi, ila subiri 25 Oct sio mbali
 
Back
Top Bottom