PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

nahitaji kura yako babu jaman

Kura ngapi Arabela mpenzi? mbona nshakutwangia. Nimekuchagua wewe tu. Lundenga hana mamlaka ya kunilazimisha kuchagua watu wanne. Wote waliobaki ni wajukuu zangu siwezi kuwabagua kwa kumchagua mmoja wao. Lakini we ni mpenzi wangu lazima nikusapoti.

Subiri uone asipoihesabu kura yangu. Chit Chat itafungwa wallah
 
Last edited by a moderator:

ahsante sana aminia kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
kwa mujibu wa saa yangu ya mkono,imebakia dk 24 kufunga zoezi la kupiga kura
 
He he he he, unapigia kura unaowagegeda??

Kunadi A, FP
Kundi B, Natalia
Heeee, kumbe Watu wanapiga kura huku? Sasa mimi napigiwa kura nagombea nini? Yaani rafiki kosa kuniita nisingekuwa nini kinaendelea huku chemba, lol!
nimeona Watu hadi wanafanya kampeni, ha haaaaa
 
Mwisho wa kupiga kura,....usipige kura tena subilia matokeo ya kwenda Fainaly,Ahsante
 
Peoplessssssssssss mlionipiga MUCH LOVEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!! Ni mimi wenu wa ukweeee LARA MOKO!!!!!!! Wote mlionipigia ni wa UKWEEEEEEEEEEEE! PENDA NYINYI SANAAAAAAAAAA!!!!
 
Wapendwaaaaa wotee mlionipigia na kuonyesha support kwangu nawapenda saaanaaaaaa mwaaaaah
 
Back
Top Bottom