PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

mbona kundi A wote nawapenda,alafu kundi B,sio kiviile.....wekeni usawa bwana,kumweka Ciello charminglady na snowhite kwenye group moja sio fair kabisa.......naomba kujua mmetumia vigezo gani kutengeneza haya makundi.

ahsante mkuu!af kuna siku ntakutafuta kuhusiana na mada moja hivi ulipost ya ufugaji bora wa kuku wa kienyeji
BACK TO THE TOPIC
mimi nimeuza mechi kwa Ciello,kura zangu zooote apewe yeye!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Arabela huyu.

Huyu si kashapita au bado anahitaji kura ya veto ya mimi babu yenu?

Nadhani Lundenga atakuwa kashanielewa kabla sijamshusha shipa la koromeo la la kizalishaji mtoto.

nahitaji kura yako babu jaman
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom