PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Oct 31, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Niwatake radhi kwa kuchelewa.

  yafuatayo ni majina ya washiriki
  KUNDI A
  1. Ciello
  2. FP
  3. charminglady
  4. pretty n
  5. snowite

  KUNDI B

  1. Arabela
  2. Natalia
  3. CUTE
  4. Kipipi
  5. lara 1

  MASHART/JINSI YA KUPIGA KURA
  a/ chagua majina mawili toka kila kundi,mfano kundi A sara na halima,Kundi B asha na fatuma
  b/ kura halali ni one member one vote
  c/ washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura kura/kumpigia kura mtu wampendaye
  d/ Mchakato wowote wa kuomba kura una ruhusiwa

  MWISHO WA KUPIGA KURA NI KESHO TAREHE 01NOV SAA KUMI KAMILI JIONI
  Nawasilisha
  Ruhazwe JR


  UPDATE

  Matokeo ni kama ifuatavyo:-
  Jumla ya kura zilizo pigwa ni Kura 199
  Jumla ya kura zilizo haribika ni kura 11
  Jumla ya kura harali ni kura 188

  Matokeo ya washiriki ni kama ifuatavyo
  1. Ciello kura 34
  2. Arabela kura 32
  3. lara 1 kura 28
  4. charminglady kura 22
  5. snowile kura 20
  6. Kipipi kura 14
  7. FP kura 12
  8. Natalia kura 11
  9. CUTE kura 9
  10 pretty n kura 6


  Wanao ingia fainal ni Ciello , Arabela , lara 1 , na charminglady
  hawa watapigiwa kura kwenye thread ya fainal ili kumpata mshindi wa kwanza,pili na tatu
  Ahsanteni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,829
  Trophy Points: 280
  A
  charminglady
  pretty n
  B
  Arabela
  Natalia
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naomba usome mashart kwanza then upige kura
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  A ) ciello na snowite B) lara 1 na Kipipi
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kura hii uiedit aisee haja fata mashart
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umechemka aisee,kama vile hujafata mashart
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  habari lungenga wa jf.....

  Kura yangu ni

  KUNDI A:-
  1. Ciello
  2. snowhite

  KUNDI B:
  lara 1
  arabella
  halafu lundenga mbona baadhi ya washiriki majina yao umekosea spelling? Kura hutokosea kuzihesabu kweli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  naomba nafasi ya ujaji please.

  kundi A
  Charminglady vs Ciello

  kundi B
  Cute vs Kipipi
   
 12. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Kwanza uelewe kuwa hapa nakupa makavu ya fasta kabla sijachangia, naona unatufanya watoto hapa. Ruhazwe JR hapa ingawa ni chit chat unakosea sana kwani last time ulikosea na ukasema utarekebisha. Despite kuwa tulilalamika ukaaidi kutorudia makosa. Sasa kosa lako ni hili; kuanzia tarehe 25 October ndiyo ungestopisha kupendekeza majina na kuanza taratibu hizi unazoanza leo, tena baada ya kuanza kushambuliwa na members hasa mzee wa mia figganigga. Ni vema basi tarehe 1 kila mwezi ikifika tukawa na miss mpya badala ya kumpata miss tareha 3 au 6 ya mwezi.
  Ingawa umejitetea lakini bado ulikuwa na nafasi ya kumPM member yeyote umtakaye aendelee na utaratibu kwa kufuata utaratibu ambao ungempa wewe. Haileti maana members wanachangia thread mpaka posts zimekaribia 300 you just sit and watch.
  Tusiporekebishana tunamngoja nani? Ni hayo tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  asante kwa kura yako my lawyer!
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  thanx 4ur vote wns
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Thanx 4ur vote BADILI TABIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...