PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

Samahani mi ntampigia mmoja tu nae ni ...kipipi.

Nashukuru sana mpendwa wangu, but ningependa uchague majina mawili kutoka kila group.......ofcoz bila kuniacha mimi na kipenzi changu Arabela! Please fanya hivyo ili kura yako isiharibike, kwa sababu kunipigia mimi pekee kutaifanya kura isihesabiwe!
 
Last edited by a moderator:

basi öndoa shaka bibie...consider it done
 
Last edited by a moderator:
Niwatake radhi kwa kuchelewa.

yafuatayo ni majina ya washiriki
KUNDI A
1. Ciello
2. @FP
3. charminglady
4. pretty n
5. snowite

KUNDI B

1. Arabela
2. Natalia
3. CUTE
4. Kipipi
5. lara 1

MASHART/JINSI YA KUPIGA KURA
a/ chagua majina mawili toka kila kundi,mfano kundi A sara na halima,Kundi B asha na fatuma
b/ kura halali ni one member one vote
c/ washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura kura/kumpigia kura mtu wampendaye
d/ Mchakato wowote wa kuomba kura una ruhusiwa

MWISHO WA KUPIGA KURA NI KESHO TAREHE 01NOV SAA KUMI KAMILI JIONI
Nawasilisha
Ruhazwe JR

I'm too smart for this.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmh
noooma

chit chat kama maji
USIPOYANYWA UTAYAOGA
USIPOYAOGA UTAYAFULIA
USIPOYAFULIA UTAYAPIKIA
USIPOYAPIKIA UTAYADEKIA
USIPOYADEKIA UTAYACHAMBIA
BASI UTAYAKIMBIA KOOOTE MWISHO WA SIKU HATA UKIWA MAITI WATAKUOSHEA!
chezeya CHIT CHAT wewe!ahahahhahahhahahhahhahhhah
 
Nashukuru sana mpendwa wangu, but ningependa uchague majina mawili kutoka kila group.......ofcoz bila kuniacha mimi na kipenzi changu Arabela! Please fanya hivyo ili kura yako isiharibike, kwa sababu kunipigia mimi pekee kutaifanya kura isihesabiwe!

ahsante my dia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom