Piga kura kuhusiana na TBC

Piga kura kuhusiana na TBC

mimi NO.
ila nataka kujua then what? itasaidia nini hii yes au NO ndio kituo kitafungwa au? coz kama hatukipendi si tuache kutazama na kutazama zingine si uhuru wetu kuchagua ya kutazama.
ila narudia tena mimi pia NO.
 
utakua umetumwa na watu wafuatao kama si !1, chama cha democrasia machame-chadema.
au takua yule aliyetimuliwa anataka ku winn sympathy ya wananchi ili arudishwe maana amepotezwa mbaya
au atakua yule mangi tycoon wa kichaga takwimu znaonyesha sikuhizi it...imekaa kichaga sana na kupoteza watazamaj
i

we ni miongoni mwa wale wale wa op(unaambiwa sema no like,unaandika essay.shida kweli kweli ua umpare kule moshi nini
 
NO mara 50,000,000 raia wote wa tanzania... tbc ni ujinga mtupu, kwa hamu ya taarifa zenye akili bora citizen ya kenya kwa wenye dstv kwani tv zingine za kiswahili hazipatikani.
 
Tbc = ccm so iwakilishi ipasavyo
a big no
 
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOONn
 
Taasisi la hovyo sana lile...ligeuzwe jina liitwe TB-CMM,Mafisadi
 
udisheni Tido Mhando maana kama sio hivyo mtakua kama Radi yenu ya Uhuru hakuna mtu anasikiliza..
 
Back
Top Bottom