Pierre atabaki kileleni! Bash boy ni zero ya kutokomeza

Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa hovyohovyo imetupa picha moja kubwa sana CHUKI ya wazi kabisa....

Akiwa na muda wa kujitafakari anaweza kujirudi na kuanza upya... Tunaweza kubeza reaction ya watu wengine wa kawaida lakini sio ya viongozi wenzake... Baada ya tukio lile hawa wamefanya yafuatayo
. Mkuu wa wilaya ya KISARAWE alimuomba radhi Pierre
. Waziri wa utalii akaandika post ndefu kuonesha Pierre hakuwa tatizo na hakutendewa haki
. Spika kamualika bungeni na wakapiga wote picha
. Waziri mkuu kamuahidi tiketi ya ndege kwenda Misri na Taifa stars
Naamini hawa ni kiwakilishi cha wengi ambao hawajatoa yao ya moyoni
Ghafla Pierre kageuka kuwa shujaa dhidi ya bashite... Yani ni kama kamzaba vibao vya kelebu kushoto na kulia...
Pierre aliyedhihakiwa kawa shujaa, bashite kabaki na aibu.... Na amejionea jinsi anavyochukiwa mpaka na viongozi wenzake.... Ajitafakari... Asiye akawa ni SIFURI inayosubiri kutokomezwa, kichokoo kikiwa Pierre

Jr[emoji769]
FB_IMG_1554534115948.jpg
 
Mkuu wa Mkoa ni lazima ajue kuwa.
1. Hakuna Binadamu wa hovyo, Mungu hajawahi kuumba kitu cha hovyo,
" Mungu alipoona kila alichokiumba ni chema akavibariki" (mwanzo 1)
2. Ukiwa kama mkuu wa mkoa kama unamwona mtu fulani hayupo kwenye hadhi unayoitaka basi ungechukua hatua ya kumbadilisha au kumsaidia kama unavyo onesha nia ya kuwasaidia Wajane, na sio kumkejeri hadharani na kuendelea kumdhihaki hata baada ya dhihaka ya mwanzoni pale ukumbini.
3. Mkuu wa mkoa ni lazima ujue kuwa hakuna binadamu asiye na madhaifu, hata wewe una madhaifu yako, na ndio maana unaenda kanisani kutubu.
4. Mkuu wa mkoa ujue kuwa watumishi wa umma wote walihakikiwa vyeti ili kujiridhisha na ajira zao lakini wewe ulikingiwa kifua, kwahiyo usiringie kukingiwa kifua na huyo unaye mtegemea kwa muda wote na kuwadharau watu wengine wasio kingiwa kifua.
5.Mkuu wa mkoa ujue kuwa katika maisha kuna hatua mbali mbali anazopitia binadamu, hata wewe ulipitia hizo hatua na kama sio kusaidiwa na Mzee Malechela usingekuwa hapo alipo. Na ukumbuke Mzee malechela hakutaka kukuacha uwe mtu wa hovyo bali alikusaidia kama wewe ilivyompasa kumsaidia Piere kama ulimwona ni mtu duni.
6.Mkuu wa mkoa usichukulie hali ya kupendwa na mkubwa fulani basi wewe uwadharau watu wengine na wengine uwathamini, kwani kila kitu kina mwanzo na mwisho na kuna siku utajikuta huyo anayemtegemea kafika mwisho wa madaraka yake.
7. Mkuu wa mkoa ni lazima ubadilike na kuomba msamaha pale unapo wakosea watu flani.
Lile tukio mwenye sherehe Jokate aliamua kumwalika Piere na wewe hivyo wote mlikuwa na hadhi sawa, kama wageni waalikwa.
Ulipomdhihaki Piere ilibidi mwenye sherehe amwombe msamaha Piere kwa kuvunjiwa heshima hadharani na mwalikwa mwenzake. Lakini uliye dhihaki hukuomba radhi, na hadi leo unasisitiza kuwa ulichokisema ni cha maana.
8. Mkuu wa mkoa ujue kuwa dunia hii inaendeshwa na fani mbali mbali ambazo zipo kisheria pia.
Mfano katika sekta ya habari kuna mchepuo wa habari za vichekesho na udaku, ambazo zinaandikwa katika magazeti spesho kabisa magezeti ya ucheshi na udaku.
Hivyo uchekeshaji ni fani na hauchagui maeneo, wapo wachekeshaji ambao wamejikita katika maeneo ha shughuri za Maharusi, Michezoni, Ngomani, Vijiweni, Misibani, na hata huku kwetu kwenye vinywaji.
9.Mkuu wa mkoa acha tabia ya kuwa mwelewa wa jumla yaani "All Knowing Person" yaani unachokiona wewe ni bora basi ndio bora.
Ubora hautokani tu na uoni binafsi , bali wengi wanavyo ona bora.
Kama kiongozi inabidi ukubaliane na maoni ya wengi ndio maana kuna msemo
" chaguo la wengi ni chaguo la Mungu "
Hawa watu unao waona ni wa hovyo hovyo ndio watakao kupa kura ya NDIO kama utagombea Uongozi wa kisiasa.
Na huyo kiongozi unayemtegemea kukulinda milele kachaguliwa na hao unao waita wahovyohovyo.
Hivyo angalia watu wanapenda nini na sio wewe unapenda nini hasa.
10. Mkuu wa mkoa, bado una muda wa kujirekebisha kwani kwa sasa una onekana wazi kuwa una KIBURI KIZITO.
Watu wa Mungu ni Wanyeyekevu na wanao wajali hao watu unaowaita ni wa hovyohovyo kila mara.
Yesu alikuja duniani kwa ajiri ya wau wenye dhambi, bila hao asingekuja.
Kiongozi yupo hasa ili kuwa nyanyua watu dhaifu ili wawe bora.
MWISHO, Ni jukumu lako kuendelea na maisha ya kujidai, au ya kujishusha.
Na aina yoyote ya maisha unayochagua sasa utalipa ghalama zake hapo baadae kidogo tu.

TAKBIR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina mama wanamkubali na ndio wapiga kura wengi
 
Ondoa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kibanzi jicho la mwenzio
 
TAKBIR... what a beautiful reply... Wengi watapita juu kwa ju... Bila kusoma kwa kutulia lakini kilichoandikwa hapa kama mhusika akikisoma na kukifanyia kazi atafaidika mno

Jr[emoji769]
 
Mkuu ana utako balaaa kamzid had mama Keegan haaaaaaaaaaaaaaahaaaaahaaaa mabasha wanamfaidi kweli
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3]

Jr[emoji769]
 
Pierre na Makonda,naona km vita ya Daudi na Goliath.
Jitu limeanza kuona aibu

Bado Naendelea Kujifunza
 
Back
Top Bottom