Pierre atabaki kileleni! Bash boy ni zero ya kutokomeza

Yaani bongo bwana mtu kakomaa eeeee kutafuta njia ya kutokea kimaisha na mambo yakatiki mtu mwingine anakuja kutaka kumvuta shati!!!!!!!!!! makonda ana roho mbaya sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
metizama picha ya Pierre vs Majaliwa....mebaki nachekaa...namwona anamsikiliza kwa makini mweshimiwa waziri mkuu...Bia za kule zitamkomaaa...na vyombo vya habari vya kimataifa vitamrusha live
[emoji23][emoji23][emoji23]picha yake na Ndugai ni kama ndugu kabisa

Jr[emoji769]
 
.
V25A8160.jpeg

Jr[emoji769]
 
Jr[emoji769]
 
Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa hovyohovyo imetupa picha moja kubwa sana CHUKI ya wazi kabisa....

Akiwa na muda wa kujitafakari anaweza kujirudi na kuanza upya... Tunaweza kubeza reaction ya watu wengine wa kawaida lakini sio ya viongozi wenzake... Baada ya tukio lile hawa wamefanya yafuatayo
. Mkuu wa wilaya ya KISARAWE alimuomba radhi Pierre
. Waziri wa utalii akaandika post ndefu kuonesha Pierre hakuwa tatizo na hakutendewa haki
. Spika kamualika bungeni na wakapiga wote picha
. Waziri mkuu kamuahidi tiketi ya ndege kwenda Misri na Taifa stars
Naamini hawa ni kiwakilishi cha wengi ambao hawajatoa yao ya moyoni
Ghafla Pierre kageuka kuwa shujaa dhidi ya bashite... Yani ni kama kamzaba vibao vya kelebu kushoto na kulia...
Pierre aliyedhihakiwa kawa shujaa, bashite kabaki na aibu.... Na amejionea jinsi anavyochukiwa mpaka na viongozi wenzake.... Ajitafakari... Asiye akawa ni SIFURI inayosubiri kutokomezwa, kichokoo kikiwa Pierre

Jr[emoji769]

Isije ikawa Pierre wa watu anatumika tu kwa faida ya mafahali wawili wenye chuki, kisha mwisho wakamdamp kama toilet paper, wanasiasa si watu, upendo wanaomwonyesha wa kinafki tu wakamilishe matakwa yao muda huu. Pierre kuwa makini mwisho wasijekuona mlevi tu. Hii ndo bongo hata Kikwete ilifika mahali akaonekana wa hovyo tu
 
Hili liko wazi kabisa... Juzi nilikuwa napitia nyuzi za Dr shika... Aisee mambo ni mengi muda mchache

Jr[emoji769]
 
Isije ikawa Pierre wa watu anatumika tu kwa faida ya mafahali wawili wenye chuki, kisha mwisho wakamdamp kama toilet paper, wanasiasa si watu, upendo wanaomwonyesha wa kinafki tu wakamilishe matakwa yao muda huu. Pierre kuwa makini mwisho wasijekuona mlevi tu. Hii ndo bongo hata Kikwete ilifika mahali akaonekana wa hovyo tu
Atumie huuu wakati vizuri.
 
Bashite ameshindwa kutengeneza mizizi ya kujiimarisha kwenye uongozi wake yaani anayemshikilia ni Jpm tu siku akitoka na Bashite naye anasahaulika
Hhawezi kudumu kama akina Salim,lowasa n.k ambao wamedumu kwenye awamu zote
Amejisahau sana hajui kama Jpm ni miaka 10 tu ameshindwa hata kubashiri ajaye ni nani baada ya Jpm.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa hovyohovyo imetupa picha moja kubwa sana CHUKI ya wazi kabisa....

Akiwa na muda wa kujitafakari anaweza kujirudi na kuanza upya... Tunaweza kubeza reaction ya watu wengine wa kawaida lakini sio ya viongozi wenzake... Baada ya tukio lile hawa wamefanya yafuatayo
. Mkuu wa wilaya ya KISARAWE alimuomba radhi Pierre
. Waziri wa utalii akaandika post ndefu kuonesha Pierre hakuwa tatizo na hakutendewa haki
. Spika kamualika bungeni na wakapiga wote picha
. Waziri mkuu kamuahidi tiketi ya ndege kwenda Misri na Taifa stars
Naamini hawa ni kiwakilishi cha wengi ambao hawajatoa yao ya moyoni
Ghafla Pierre kageuka kuwa shujaa dhidi ya bashite... Yani ni kama kamzaba vibao vya kelebu kushoto na kulia...
Pierre aliyedhihakiwa kawa shujaa, bashite kabaki na aibu.... Na amejionea jinsi anavyochukiwa mpaka na viongozi wenzake.... Ajitafakari... Asiye akawa ni SIFURI inayosubiri kutokomezwa, kichokoo kikiwa Pierre

Jr[emoji769]
Mkuu sio wewe ulieweka thread ya kwanza hapa jf kuhusu huyu Pierre? Thread yenyewe ilikuwa na mlengo kama wa RC....sio wewe?
 
Naomba link tafadhali niliandika moja ikapotea sasa pengine imejipost

Jr[emoji769]
 
Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa hovyohovyo imetupa picha moja kubwa sana CHUKI ya wazi kabisa....

Akiwa na muda wa kujitafakari anaweza kujirudi na kuanza upya... Tunaweza kubeza reaction ya watu wengine wa kawaida lakini sio ya viongozi wenzake... Baada ya tukio lile hawa wamefanya yafuatayo
. Mkuu wa wilaya ya KISARAWE alimuomba radhi Pierre
. Waziri wa utalii akaandika post ndefu kuonesha Pierre hakuwa tatizo na hakutendewa haki
. Spika kamualika bungeni na wakapiga wote picha
. Waziri mkuu kamuahidi tiketi ya ndege kwenda Misri na Taifa stars
Naamini hawa ni kiwakilishi cha wengi ambao hawajatoa yao ya moyoni
Ghafla Pierre kageuka kuwa shujaa dhidi ya bashite... Yani ni kama kamzaba vibao vya kelebu kushoto na kulia...
Pierre aliyedhihakiwa kawa shujaa, bashite kabaki na aibu.... Na amejionea jinsi anavyochukiwa mpaka na viongozi wenzake.... Ajitafakari... Asiye akawa ni SIFURI inayosubiri kutokomezwa, kichokoo kikiwa Pierre

Jr[emoji769]
Mkuu vibao vya kelebu yaani ile ya kulia na kushoto manake unakanywa...ni kama alichooigwa Alhaji Mwinyi pale Diamond Jubilee sema jamaa kwa heshima alimpa kelbu moja tu...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom