Habari muhimu zinafichwa na kuminywa... Hizi ndio zinapewa airtime.. Hakuna namna... We are within the circle.. Let's dance the rhythm.....!!!Mimi sishangai Pierre Likwidi wala Bashite, nawashangaa watanzania, kweli tumefika hatua hii?
Hii ndiyo habari sio?
Ameumbiwa usahaulifu kama kuku wa broilerBashitee ila huwa hajifunzi ingekuwa mwingine kwa hili jambo lilivyopokelewa angepumzika au kuacha kbs kudhihaki watu sasa piere kageuka shujaa mbele yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa hovyohovyo imetupa picha moja kubwa sana CHUKI ya wazi kabisa....
Akiwa na muda wa kujitafakari anaweza kujirudi na kuanza upya... Tunaweza kubeza reaction ya watu wengine wa kawaida lakini sio ya viongozi wenzake... Baada ya tukio lile hawa wamefanya yafuatayo
. Mkuu wa wilaya ya KISARAWE alimuomba radhi Pierre
. Waziri wa utalii akaandika post ndefu kuonesha Pierre hakuwa tatizo na hakutendewa haki
. Spika kamualika bungeni na wakapiga wote picha
. Waziri mkuu kamuahidi tiketi ya ndege kwenda Misri na Taifa stars
Naamini hawa ni kiwakilishi cha wengi ambao hawajatoa yao ya moyoni
Ghafla Pierre kageuka kuwa shujaa dhidi ya bashite... Yani ni kama kamzaba vibao vya kelebu kushoto na kulia...
Pierre aliyedhihakiwa kawa shujaa, bashite kabaki na aibu.... Na amejionea jinsi anavyochukiwa mpaka na viongozi wenzake.... Ajitafakari... Asiye akawa ni SIFURI inayosubiri kutokomezwa, kichokoo kikiwa Pierre
Jr[emoji769]
asante kwa mchango na kijembe cha umbea mmbea mwenzanguKimsingi tabia ya kushabikia "zaidi" mambo ya kitoto watanzania tunaongoza, na hii ni hatari sana. Pierre kama PIERRE Hana KOSA LOLOTE ANATUMIA fursa na ndo mana tunasema EDUCATION IS WHAT REMAINS AFTER EDUCATION, ie After school be it formal oder informell.
Makonda alikosea sana kutaja jina la mtu, angetoa ujumbe tu kuwa muhimu watanzania tufuatilie zaidi mambo ya msingi, na burudani ichukue pia nafasi yake. Kumdhalilisha mtu mzima tena ambaye amealikwa ni kukosa uungwana kabisa. LAKINI UKWELI utabaki kuwa watz tubadilike na we mwandishi msisitizo wako umekaa kiumbeya. Unaona "Half Empty Cup anstatt Half Full Cup". Tunatakiwa kuvuka ile hatua ya kuona mada kwa kiwango cha urefu wa PUA ZETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1568461/