Picnic ya wanajamiforums

Anaboa mbayaaa....Hawa ndo prof Kabudi kawaweka kundi la wapumbavu...kujifanya wanajua kila kitu.
Ceter beribus meeting as group members kuna umuhimu wake na faida zake.

its even good for health , economically ni basi tu tumeumbwa tofauti lakini kila mtu duniani ana nafasi yake hata awe chizi... naumia sana kuona hivi
 
We vipi....kwani yeye hajui kwamba anamilikiwa na wewe? Kama yeye kakubali kukumbatiwa we kisirani cha nini? Kwani amekuwa mbuzi huyo kwamba ameibwa na kashindwa kuresist?

Vishawishi baba vishawishi. Nimekutana nae kitaa bila kufahamu ni member mtiifu wa humu. Baada ya kujuana ndo akanipa mastori ya humu mara oohhh niliwahi kuhudhuria get together party ya JF. Ni dada mzuri sana machoni kwa hiyo najua watu wengi watajipitisha kama mimi nilivyofanya, ila kwa sasa nataka awe wangu tu kwa hiyo nina wivu balaaaa.

Sasa tajeni sehemu afu aniletee stori hizo, lazima siku hiyo nifungie ndani bakutoka. Abiri chunga mzigo wako
 
sijui hiyo bajeti kaiwekaje labda tuje na vyakula vyetu(vichau)
 
Je yeye akizimika flag??!!!
Na hivi ni porini, atachukuliwa na ukizingua unakula nakoz!!!!

We jiandae naye kwa kishirikiana na yeye awe katika mood basi huo ndio muafaka la sivyo ntachukua namba na kuja kumalizana naye kitaa!!!!

Inaoyesha unatamani kulogwa asee.Ulizia Juma Njemba ni wawapi ili usichezee bustani za watu
 
Hahahaha wacha mikwara bwaina!!!

Hapana hakuna mikwara ni kuambiana ukweli tu. Ona jinsi mibaba na mimama ya humu inavyolia. Afu mimi nicheke tu huku najua wangu ni member humu na anapenda ku-socialize. Nitampa mtu kitenesi cha milioni mbili
 
Hiyo 40,000 ni fee pamoja na nauli kutoka popote au mchango tu wa tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…