Picnic ya wanajamiforums

Picnic ya wanajamiforums

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
Hey marafiki lets go somewhere tukae tuenjoy about life, anywhere Tarangire, Manyara, Seliani, Serengeti, Ngorongoro even for a week please members its fun we can share a lot about our differences and love as well.

Hela ni 40000 per each please just to feel happy life is amazing lets mess with nature is all good, pictures, memories we don't live forever, lets us be one and a smile in a universe please.
 
... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!
 
ha ha ha ha aisee
 
Kama akiongea jambo la kweli kunihusu I don't mind asinipakazie tuu
 
Wengine lugha ya Malkia imepita kushoto Kaka Nyani Ngabu unaweza nisaidia kwa hili ili nielewe hii makitu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
guys
hey marafiki lets go somewhere tukae tuenjoy about life,anywhere tarangire,manyara,seliani,serengeti,ngorongoro even for a week pleaseeee members its fun we can share alot about our differences and love as well
hela ni 40,000 per each pleasee just to feel happy life is amazing lets mess with nature is all good,pictures,memories we dont live forever ,lets us be one and a smile in a universe pleaseeeee

Hiyo figure fafanua please.
 
Nadhani ni Tsh 40,000/=! Sasa mm niko Namanyele Rukwa ntafukaje uko, je kuna ufadhili? Nataka na mm nije mweee
 
... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!

Ha ha ha...yeah Kama itatokea hiyo safari tutasikia huyo Fulani Ana sura ngumu Kama anapuliza moto ni wazo zuri lakini wale wasiopenda gossip za kijinga, kila la kheri.
 
Pamoja Mkuu , ninanafasi moja ya ufadhili

Cc: miss neddy
 
Last edited by a moderator:
ok tukutane huko huko siku hiyo. Ni idea nzuri kama ikiwezekana
 
Wakware hutumia nafasi hiyo kutafuta partners. Demu wangu ni memba humu na anapenda sana mitoko ya namna hii, sijui kama akisoma hapa ataacha ku-bid. Na nimeshajua user name yake acha nisubiri asije kuja niambia ooohh tunaenda kwenye kitchen party ya rafiki yetu tulisoma naeee.

Mtanikuta huko huko, ole wako nikukute umemumbatia eti unajifanya unamwonye shatembo nitakukaanga mayai ya chini
 
Hapo penye hiyo 40000 hapo afu for a week. Jamani hata serikali huwa sielewi inapohamasisha utalii wa ndani sababu ukiona ma hotel ya huko ni shida. Mi huwa natamani sana kwenda sehemu za huko ila ukifikiria gharama kwa mtanzania wa kawaida ni anasa ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom