Picnic ya wanajamiforums

Picnic ya wanajamiforums

Hey marafiki lets go somewhere tukae tuenjoy about life, anywhere Tarangire, Manyara, Seliani, Serengeti, Ngorongoro even for a week please members its fun we can share a lot about our differences and love as well.

Hela ni 40000 per each please just to feel happy life is amazing lets mess with nature is all good, pictures, memories we don't live forever, lets us be one and a smile in a universe please.

40,000/=? Inaweza ikawa ndogo au kubwa.

Justify hiyo figure kwa mchanganuo. Onesha how did you reached to that figure.
 
kwa hili tu utapata watu wengi, huko tena wiki nzima, hata mimi ntaenda, ila zingatia tarehe za wallet, ili zinisogeze karibu na Miss chaga, MankaM wao ndio watashindana.
 
... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!

Yaan nimechekaaa umeonaa eeee watu mtasemwa mpaka miguu yenu ilivyo unajua humu watu tushajiwekea akili kuna watu wazuri tu, wana pesa tu wakati waliopo mitaan ndio wamo humu humi
 
Hivi na kubeba mabox miaka yote unataka kuniaminisha kwamba huwezi kwenda vacation binafsi na usafiri wako mpaka mchangishane na hawa watu wa fursa?

Mimi mara ya mwisho kushiriki ujinga kama huu ilikuwa wakati nipo secondary school miaka ya tisini wajanja walikuwa wanatuchangisha pesa ya kwenda picnic Rungwe oceanic na wao wanachofanya ni kukodi coaster tu kule beach kila kitu mnajitegema wao wako na mademu zao tena siyo wanafunzi wanatumbuwa pesa zenu tu. unajuwa kipindi chetu ukianza form one wale form four tayari wana ndevu na tulikuwa tunawaamkia.

Nimecheka sana Matola.
 
Last edited by a moderator:
daaah kuolewa nako kunakosesha vingi, i wish ningekuwa single now
 
safie kabisa.... ntajilipia mimi na wadada wawili wa MMU, na bili zote kwangu... first in, first served!!!!
 
hii nzuri ila mbona hela kama ndogo au tunaenda baga moyo tupe utaratibu basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom