Pick up lines nzuri zenye comedy za kuokotea pisi

Pick up lines nzuri zenye comedy za kuokotea pisi

Hakika inaupenda utoto utoto raha sana.
Halafi sizeeki aah, thank you Lord😂😂
Napenda watoto ila utoto ndio siupendi.. 🤓🤓🤓😂😂
Utoto raha kwako ila amini kuna watu wanakerwa na utoto wako
 
Unaweza ku opt kufa ili usiuone utoto wangu mkuu au sio😂
An utoto achana nao kabisa.
Kuna sehemu utakuja pigwa vibao na watu wenye hasira kali ambao wapo straight 😂😂😂😂😂😬😬😬😬😬
 
"Bebi si unajua waziri wa fedha mwigulu nchemba na tozo buana ila wewe nipe Ile naniliu hakika nitafuta tozo ukoo wako mzima"
 
An utoto achana nao kabisa.
Kuna sehemu utakuja pigwa vibao na watu wenye hasira kali ambao wapo straight 😂😂😂😂😂😬😬😬😬😬
Utakuwa mgonjwa mkuu.
Waambie wawahishe hayo makofi kama wamemiss kwenda kusalimia kuzimu mkuu.

Mimi ni kiboko cha mafala walete
 
Utakuwa mgonjwa mkuu.
Waambie wawahishe hayo makofi kama wamemiss kwenda kusalimia kuzimu mkuu.

Mimi ni kiboko cha mafala walete
Kiboko cha mafala na bado una utoto are you serious 😂😂😂😂😂😂
 
Sikuwahi kufahamu hilo jina Poor Brain linakuhusu.
Wala sikuwahi kuwaza kuwa una akili ndogo kiasi hiki.

Huu uzi ni jokes plus chitchat lakini unataka kuwaona wachangiaji ni mafala..siriaz?

Nafikiri unatania na naomba isiwe kweli
Saafiii nilitaka useme..
Hatimae umesema 🙌🙌🙏🙏🙏🙏
 
Sawa mkuu...
Naona unaanza kunitisha 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Sirudii tena... 😂
Mimi ndio umenitisha..
Nilikushangaa vi teminoloji vidogo kama vile ulishindwa kuvielewa.

Huwezi kuwa siriazi kwenye utani.
Wala huwezi kufanya utani kwenye vitu siriazi.

Mimi huwa napima akili ya mtu kwenye utani...so nilikuwa naenda nawe mdogo mdogo ili nikuweke unapostahili...nisijekutoa nishipa kushindana na mtu asiye size yangu.
 
Imekuwa katika hali ya ubinadamu kuamini zaidi katika mambo tunayoweza kuona, kujisikia,(self ladha ),kusikia au kugusa wakati tukiwa na mashaka chochote kingine ambacho kina zaidi ya mtazamo wa hisia zetu za haraka.
Hata hivyo, ikiwa unaamini au la, Sheria hizi za Universal zinaathiri maisha yetu ya kila siku na huwezi kubadilisha hiyo.
👍👍👍👍👍👍👍
 
Uliingiza Kigogo kwenye google translate mkuu?

Anyway nisikuharibie usiku wako.

#amani itawale..Yesu ni Bwsna#
 
Back
Top Bottom