Pichu yako imetoboka??

imetoboka kila mahali na kila mahali kuna kiraka.....naipenda mana vilaka imeifanya pichu yangu kuwa unique......

Haa haaa haaaaa...
Umenikumbusha wimbo wa Dolly Parton - My Coat of Many Colours. Haa haaaa haaaaaa...!!
Sijui hata niipe zawadi gani JF?! Inanipa raha sana ati.
 
Kapu langu hilo
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1379510706127.jpg
    3.7 KB · Views: 82

rafikimkweli.

Kwanza samahani kwa kuchelewa kuona barua yako.

Nakuomba ujaribu kumualika na mwenyekiti wa CC Baba V, pamoja na mzee wa jukwaa Bishanga.

Nategemea majibu mapema.

Asante

Mzee
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor njoo uchukue pichu yako. Uliisahau siku ile ya mtanange.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1379510936439.jpg
    2.2 KB · Views: 91
Last edited by a moderator:
Ninayo moja tu. Nafua usiku, Asubuhi inavaliwa.

Ni lazima ichakae ndipo ninunue nyingine.

NB:
Tofautisha kuchakaa na kutoboka.

Tatizo lenu vijana matozi mno, mie niliona taabu kununua nunua viboxer nikaamua kushona za batiki, zile kiboko, ninazo tatu tu mwaka wa nne sasa hata dalili za kuchakaa hamna, shahidi angu Madame B , afu uzuri wa chupi za kushona unai design mwenyewe inakuwa "user friendly" kwa mfano mie za kwangu zina zip, luksi, mkanda, mifuko ya nyuma e.t.c kuweni wabunifu..
 
Last edited by a moderator:

hiyo sio chupi sasa, hiyo tunaita bukta
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa duh Baba V you made my day!Pichu za batiki!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…