PICHANI Sherehe za miaka 36 ya CCM zafana Houston-Texas

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Sunday, February 3, 2013

Mwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula(kulia) akimkabidhi kadi mwanachama mpya Bw.Kelvin
Mwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula(kulia) akimkabidhi kadi mwanachama mpya Bw.Joseph Hizza
Mzee wa CCM-Texas Juma Maswanya (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa CCM-Texas Abdallah Nyangasa

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM-Texas, kutoka kushoto Frank, Salum na Abdallah

Novatus Simba & Abdulkarim Faraji

Salum & Sister Kevo

Mwenyekiti Makangula (kulia) na Katibu Mkuu Nyangasa
Wana CCM - Texas

Salim Kitogo na Frank Mutafungwa
Wana CCM - Texas

Wana CCM - Texas

Wana CCM - Texas
Wana CCM - Texas
Mjadala wa kuboresha Chama

Mzee Maswanya na mgeni Sekulu

at 4:13 AM

Watu wenyewe hawazidi 20. Si ajabu wameletwa na malori kwa ahadi ya pilao!!
 
Texas? hao bado wana yale mawazo kuwa ukitaka kutoka kimaisha ni lazma uwe CCM.
 
Wajameni TUKO NNJE na TUMECHOKA hivi ndio Sababu Twakimbilia KADI za CCM???

Wenzao wa nyumbani wameichoka CCM, wabeba box wamechoka kubeba box wanataka kuja pakuanzia kutoka kimaisha kwa ufisadi. Nyani Ngabu yupo hapo? au yeye hana njaa kama hawa wasio na aibu kushabikia Chama Cha Mafisadi?
 
Hawa wseme kuwa wameishiwa na wanatafuta namna ya kurejea nyumbani kama alivyofanya Malecela ili wakagombanie mabaki ya ufisadi CCM. Shame on them!
 
Wanataka kuiharibu Marekani.... Hiyo nchi haihitaji watu wajinga na wadhaifu.... nadhani hawa soon watafukuzwa huko... kushabikia ccm ni udhaifu.... wengine jamani iogopeni ccm kama ukoma
 
Wenzao wa nyumbani wameichoka CCM, wabeba box wamechoka kubeba box wanataka kuja pakuanzia kutoka kimaisha kwa ufisadi. Nyani Ngabu yupo hapo? au yeye hana njaa kama hawa wasio na aibu kushabikia Chama Cha Mafisadi?

Thubutu yake! Mimi na siasa za kipumbavu za CCM wapi na wapi? Sina kabisa muda huo.
 
Mbwembwe zingine bana! sijawahi ona wamarekani wakikabidhiana kadi za republican au democratic hapa bongo.
Iweje sisi kwao?
Sunday, February 3, 2013

Mwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula(kulia) akimkabidhi kadi mwanachama mpya Bw.Kelvin
Mwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula(kulia) akimkabidhi kadi mwanachama mpya Bw.Joseph Hizza
Mzee wa CCM-Texas Juma Maswanya (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa CCM-Texas Abdallah Nyangasa

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM-Texas, kutoka kushoto Frank, Salum na Abdallah

Novatus Simba & Abdulkarim Faraji

Salum & Sister Kevo

Mwenyekiti Makangula (kulia) na Katibu Mkuu Nyangasa
Wana CCM - Texas

Salim Kitogo na Frank Mutafungwa
Wana CCM - Texas

Wana CCM - Texas

Wana CCM - Texas
Wana CCM - Texas
Mjadala wa kuboresha Chama

Mzee Maswanya na mgeni Sekulu

at 4:13 AM

Utamjuaje mtu kama amechoka kwa kumwangalia kwenye picha tuu?

Mkuu wanajulikana tu, ukiona Mtanzania aliye nje ya nchi anashabikia Magamba ujue ndio kafulia huyo kama alivyofulia W. J. Malecela. W. J. Malecela Karudi kujitafutia ridhiki baada ya kudandia meli na kupiga sana deki, baada ya kupata ushauri kutoka kwa rafiki yake, gamba Nape Nnauye aliyemshauri arudi nyumbani kupiga dili za ufisadi CCM wakijua bado zinalipa kumbe ndio zinafikia ukingoni na 2015 lazima tukamate mafisadi wote tia jela.
 
...HawaNdio Vijana Tuliotegemea Kuwa na Mawazo Mapya ya Kuikomboa Nchi Yetu Kutoka Kwenye Makucha ya Mafisadi ambao Wengi wako NyiNyiM?? Kweli Tanzania Bado Sana...!:eek:hwell:
 
Inatia mashaka sana kwa chama changu cha CCM ukiangalia hizo picha, kwa mfano
1/Idadi ya wahudhuriaji ni ndogo sana(kwa haraka haraka hawazidi watu 15)

2/Sura nyingi ninazifahamu, wengi ni maafisa waandamizi wa serikali, watoto halali wa vigogo na watoto wa nje ya ndoa.
 
Maisha ni kuchagua..........Uamuzi wa maisha yako usikufanye ukafikiria uamuzi wa maisha ya wengine haufai.........kufanya hivyo ni kutokuwa tofauti na Fikra hasi za malimbukeni.
 
Back
Top Bottom