Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

Wameokoteza vijana huko njiani ili wapige picha. Wala hawana bashasha na kinachoendelea hapo. Na watu wa Moshi hawadanganyiki tena.
 
Picha za mkutano Wa CCM Moshi

imagejpeg
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

Kila siku nasema mkiwa waongo mkumbuke kuweka kumbukumbu...hukumbuki nape aliposema hawezi kwenda CHADEMA kwani yeye si mchagga alimaanisha nini?
 
Nilipata kukaa na koo mbili za kichaga nikawaonyesha maneno ya nape aliyoyanena kwa jazba juu ya wachaga na ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Una ushahidi na unayoyasema?
Kuhusu ukabila ni ndani ya chadema lakini sio nje ya chadema.
Mimi binafsi my political idol wangu ni Augustine Lyatonga Mrema ambaye ni mchaga hata kiswahili tu kinamsuta. Ninapenda sana siasa alizotumia Mrema alipokuwa mambo ya ndani na kama leo ungeniuliza nani chaguo langu kuwa waziri wa mambo ya ndani nitamtaja Mrema. Pia wako akina Sokoine, Muhidin Kimario, Tumaineli kiwelu, Omary Mahita, Edward Lowassa nk. Hao wote niliowataja kama sio wachaga basi wanatoka kaskazini sasa sijui ukabila unakuja wapi hapo

Kada mwenzangu habari za siku
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

mwambie Nape Mwandosya na alhaji Abdallah Bulembo
 
Kila siku nasema mkiwa waongo mkumbuke kuweka kumbukumbu...hukumbuki nape aliposema hawezi kwenda CHADEMA kwani yeye si mchagga alimaanisha nini?
ccm wanaugonjwa wa kurithi ktk ujamaa,wanaogopa sana watu wenye akili na kujituma hata km hawajasosoma.wammaogopa siasa za kistaarabu km mwizi na taa.wanapenda singizia wengine wanaposhidwa.walizoea singizia mabepari
Sasa ni chadema.

Sasa wanawachukia wachaga kila kona.hao waliojisahau na kukaa nao mezani wanatumika tuu.nimetembea nchi nzima nimeona chuki kwa wachaga toka makabila mengi sana.wengi hawakuwa wakijua kuwa mimi ni mchaga kwa muonekano na lafudhi huwa hawanitambui.

Wenine wanasema wazi kuwa wanawachukia kwa vile wanafuta hela kwa nguvu mno,wengine oh wameshikilia kila kitu.Na hii ndio tabia ya ccm wasiojua kuwa wakati wachaga wanaanza wanaoneka washamba,wakianza fanikiwa wanaambiwa hawapumziki hata wajipende na mambo mengine km sijui hawajui kuvaa.wakifanikiwa wanaitwa wezi.

Damn ccm lazima walipe madhambi,sasa hivi wachaga wanabaguliwa si tuu kilimanjaro bali hata moshi tena vijijini.Mungu aliwaumba km badgers na zaidi ya nusu hawapo wala sehemu moja ,kila mtu anajituma awezavyo na anafanikiwa kwa style yake ccm wameshindwa waangami.wameuwa viwanda na kujaza watu wasio hata ujua mkoa na kuishia choka tuu.

Wamejenga mji wa wagumu usio na pesawenzao wanazifuta hela zilipo kote duniani..
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

Chris mbona umenipotezea ile thread ya lema niliyokuomba unitumie? kuna attachment imekuja ila sina uhakika kama ndo document au ni kirusi. tafadhali kama kunauwezekano nitumie kwenye private au kama vipi niambie unitumie kwenye email yangu. tafadhali tuma kama email tu na sio kama attachment. asante
 
Friday, April 5, 20DADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape anatarajiwa


kufungua semina ya H Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape anatarajiwa kufungua semina ya Halmashauri Kuu ya Mkoa huo ya CCM na baadaye kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Moshi.
o ya CCM na baadaye kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Moshi.

Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Steven Kazidi (wapili kushoto) akimtambulisha Mwenyekiti wa UVCCM mkoa huo, Frederick Mushi kwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Elizabeth Minde.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanajro mjini Moshi jioni hii.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kucharaza ngoma, iliyokuwa inapigwa na kundi la sanaa la CCM, baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jini Moshi jioni hii.
Katika ziara hiyo Nape ameambatana na Vijana waliojiengua hivi karibu kutoka Chadema, Mtela Mwampanga na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Juliana Shonza. Pichani, Mwampamba na Shonza Katika ziara hiyo Nape ameambatana na Vijana waliojiengua hivi karibu kutoka Chadema, Mtela Mwampanga na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Juliana Shonza. Pichani, Mwampamba na Shonza wakisalimiana na vijana wenzao ambao pia wamehamia CCm hivi karibuni kutoka Chadema mkoani Kilimanjaro, David Waryoba (kushoto) na Yona Makwaya (wapili kushoto)zao ambao pia wamehamia CCm hivi karibuni kutoka Chadema mkoani Kilimanjaro, David Waryoba (kushoto) na Yona Makwaya (wapili kushoto)

Vijana wakimsubiri Nape kwa shauku alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii.

  1. Nape akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Mohammed. (Picha zote na Nape akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Mohammed. ashir Nkoromo wa


POSTED BY: BASHIR NKOROMO AT FRIDAY, APRIL 05, 2013


733930_351981558239257_1473252378_n.jpg




Ndani ya moshi mjini ziarani kichama Juliana shonza kada,Mwenyekiti uvccm mkoa wa kilimanjaro fredy Mushi na aliekuwa kamanda wa chadema (katibu wa chaso Ardhi) kada Yona Makwaia


attachment.php


Mkutanoni Magari Mengi zaidi ya Wasikilizaji?

Moshi wameamua, hali kama hii inabidi Nape na Mwigulu wajiulize kulikoni. Siasa si vitina, vitisho wala ujambazi, bali ustaarabu wa kunadisha sera. Mambo yakiendelea hivi hivi kuna siku watashtukia wako peke yako hakuna hata wa kuwapokelea.
 
Umati wa watu watikisa Arusha wakati nape akiwahutubia...... Chadema wapoteza wanachama nkwa kasi ya ajabu....... Arusha sio ngome tena ya Chadema.... Nape akonga nyoyo za wana Arusha..... Heading nilizotegemea kwenye gazeti la uhuru
 
Kwa style hii hasira za nape kwa watu wa moshi zitakuwa mara mbili zaidi, hili ni funzo nzuri
 
Wameenda njoro kufanya mkutano halafu wanauita "mkutano mkubwa",na ingekuwa pale mashujaa mungeuita kitu gani?

Moshi hakuna chenu wabaguzi wakubwa nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom