Una ushahidi na unayoyasema?
Kuhusu ukabila ni ndani ya chadema lakini sio nje ya chadema.
Mimi binafsi my political idol wangu ni Augustine Lyatonga Mrema ambaye ni mchaga hata kiswahili tu kinamsuta. Ninapenda sana siasa alizotumia Mrema alipokuwa mambo ya ndani na kama leo ungeniuliza nani chaguo langu kuwa waziri wa mambo ya ndani nitamtaja Mrema. Pia wako akina Sokoine, Muhidin Kimario, Tumaineli kiwelu, Omary Mahita, Edward Lowassa nk. Hao wote niliowataja kama sio wachaga basi wanatoka kaskazini sasa sijui ukabila unakuja wapi hapo
Ila ukiziangalia hizo picha kwa jicho la tatu zina ujumbe mzito sana kwamba licha ya vijana wa Moshi kuandaliwa malori ili wakampokee Nape lakini wamegoma, na hapo kwa uchache ninaowaona ni Wanachuo wa chuo cha Ushirika ambao ni misukule ya CCM ndio walikubali kuacha masomo yao na kwenda kumpokea Nape.
Kwa moshi ni ngumu sana ccm kuwa na wafuasi.. Najua fika 2015 ccm watakosa majimbo yote hasa siha linaloongozwa na Agrey Mwanri, na moshi vijijini linaloongozwa na Cril chami.. Majimbo haya mawili ni ngumu sana ccm kuyatetea... Kwa yale majimbo ya wapare bado najua ccm wanawatumia... lakini tunakoelekea ccm hawatakuwa na waziri mchaga.. Labda katiba ibadilike..wawe wanatoka nche ya bunge.. Kwa sasa kuna naibu waziri mmoja tu mchaga nae ni Agrey Mwanri.. Walikuwa wawili na Crili chami, lakini baada ya Crilli chami kuondolewa
kwa kushindwa kusimamia wizara ya viwanda na biashara..
Majimbo ya wachaga...
:vunjo Agustino Mrena Tlp
:Hai Freeman Mbowe Cdm
:Rombo Roman selasin cdm
:Moshi mjin
Felemon Ndesamburo cdm..
Kwa wachaga ccm ina majimbo ma wili 2
:moshi vijijini Crilli chami na Agrey mwanri moshi vijijini.
sasa wameenda kufanya nini huko?!!! Si wachaga wana chama chao?!!! Mnawatukana wachaga nchi nzima halafu mnarudi kuwaomba wajiunge na ccm hizi si bangi jamani?
Na usiasahau tamko la UVCCM mkoa wa pwani wakiongozwa na Prince Ridhiwan wametamka hadharani kwamba mrithi wa JK hawezi kutoka kanda ya kaskazini, na Sultani JK hajawahi kulikemea hili hata siku moja leo anasingizia kasomewa Itikafu!!Pia ngoja nikuambie kitu kimoja,
Wewe ndio unataka kuleta ukabila kwa sababu tayari ndani ya chadema mnao ukabila.
Mimi nimekaa Moshi mwaka mmoja nilipokuwa CCP na baada ya mfunzo nimefanya kazi moshi mjini kwa miezi sita.
Tanzania hakuna ukabila ila wajinga wachache walioko ndani ya chadema ndio wanaotaka kuleta ukabila.
Juzi tu hapa nilileta uzi wa kumtetea rafiki yangu mkubwa ambaye ni mpare mtu ambaye nyinyi kutokana na kuwa ni polisi mnamchukia.
Hiyo dhana ya ukabila ni nyie wenyewe mnaoileta na kujaribu kuipenyeza lakini haitafanikiwa
Kweli wewe ni mgonjwa Dr. hakukuonea! Ungeenda huko kama nani vile? au unajiona wewe ni mtu mhimu sana katika CCM? Mbona uanajikweza sana wewe kapuku!Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Hao wanaosema kiongozi hawezi kutoka kanda ya kaskazini ndo wanaoigawanya nchi huku wakiwasingizia ni watu wa kaskazini wenye kufanya hivyo na wakati hatujawahi kuwa na rais kutoka kaskazini.Na usiasahau tamko la UVCCM mkoa wa pwani wakiongozwa na Prince Ridhiwan wametamka hadharani kwamba mrithi wa JK hawezi kutoka kanda ya kaskazini, na Sultani JK hajawahi kulikemea hili hata siku moja leo anasingizia kasomewa Itikafu!!
We mla mbwa huwezi kusema chama hiki ni cha kabila hili halafu uende kwenye kabila lile upige sera kunadi chama chako, moja ni kuwaonesha watu hao kwa maana ya kabila huwapendi lakini pia hupo tayari wajiunge na chama chako kwani tayari umewachagulia Chama. Unajua ukiwa na domo usiloweza kuli'control' kama la Nape ni shida sana. Lakini tusimalaumu sana Nape maana yawezekana amechanganyikiwa baada ya kutotajwa jina lake kwenye kumbukumbu ya anayedai ni baba yake (Nnauye).Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Jibu sahihi ni kwamba ALIFUKUZWA leo kapata jukwaa anageuza maneno kwamba alihamia CCM. Hata hivyo CCM ndo zao, kumbuka Bibi Kiroboto alivyomtetea mzee wa vijsenti akisema ni mwadilifu hivyo amemteua kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati yeye alishindwa kabisa kuzuia wizi wa fedha kupitia ununuzi wa rada halafu fedha yake anaficha nje badala ya kuwekeza nchini halafu anasifiwa kwa uadilifu, hiyo ndiyo CCM. Tambwe akiwa CUF wakati anagombea ubunge kule Temeke aliwahi kusema kwamba kurejea CCM ni sawa na kulala kwa maana ya kuzini na mama yake mzazi lakini alirudi na kuwa vuvuzela la CCM kwa muda.Hivi huyu Shonza alifukuzwa chadema? au aliamua kuhama mwenyewe maana hapa namsikia anasema aliamua kuhama kutoka cdm
Wouh!wouh!wouh!!!we gamba ukishiba haya majamaa sio lazima uandike....kalale ujampe!!!Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Sasa ni wakati wa kujipanga, wapambanaji na wachumia tumbo kila mtu anachukua nafasi yake, 2015 ileee pale.Friday, April 5, 20DADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape anatarajiwa
kufungua semina ya H Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape anatarajiwa kufungua semina ya Halmashauri Kuu ya Mkoa huo ya CCM na baadaye kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Moshi.o ya CCM na baadaye kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Moshi.
Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Steven Kazidi (wapili kushoto) akimtambulisha Mwenyekiti wa UVCCM mkoa huo, Frederick Mushi kwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Elizabeth Minde.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanajro mjini Moshi jioni hii.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kucharaza ngoma, iliyokuwa inapigwa na kundi la sanaa la CCM, baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jini Moshi jioni hii.
Katika ziara hiyo Nape ameambatana na Vijana waliojiengua hivi karibu kutoka Chadema, Mtela Mwampanga na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Juliana Shonza. Pichani, Mwampamba na Shonza Katika ziara hiyo Nape ameambatana na Vijana waliojiengua hivi karibu kutoka Chadema, Mtela Mwampanga na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Juliana Shonza. Pichani, Mwampamba na Shonza wakisalimiana na vijana wenzao ambao pia wamehamia CCm hivi karibuni kutoka Chadema mkoani Kilimanjaro, David Waryoba (kushoto) na Yona Makwaya (wapili kushoto)zao ambao pia wamehamia CCm hivi karibuni kutoka Chadema mkoani Kilimanjaro, David Waryoba (kushoto) na Yona Makwaya (wapili kushoto)
Vijana wakimsubiri Nape kwa shauku alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii.
- Nape akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Mohammed. (Picha zote na Nape akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Mohammed. ashir Nkoromo wa
POSTED BY: BASHIR NKOROMO AT FRIDAY, APRIL 05, 2013
![]()
Ndani ya moshi mjini ziarani kichama Juliana shonza kada,Mwenyekiti uvccm mkoa wa kilimanjaro fredy Mushi na aliekuwa kamanda wa chadema (katibu wa chaso Ardhi) kada Yona Makwaia