nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
- Thread starter
- #21
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Wewe unaishi UK haujaona na kusikia MATUSI ya NAPE dhidi ya WACHAGGA kwa CHADEMA anaangalia jina la MWISHO TU Majibu yake kwa huyo MTU ni tofauti kabisa ana-MJUDGE kabisa kuwa tayari ni CHADEMA hata kama ni Masuala yasiyo husu VYAMA vya SIASA... that's reverse discrimination... yaani kwasababu ni Katibu Mwenezi wa CCM; Lakini hicho cheo sio cha MAISHA kwake... anajenga UADUI; baada ya Miaka Miwili Anakuja Rais Mwingine na atapenda KAMATI KUU ya MRENGO wake... Sasa Nape kabomoa Madaraja KILIMANJARO; ARUSHA na ni yeye Mwenyewe...
Siasa sio kubomoa BRIDGES; ni kujenga BRIDGES wakati ukianguka kuna sehemu utarushiwa kamba kukusitiri...
Don't burn all bridges... Hawezi kukimbilia nje ya NCHI - Jinsi Serikali ya Awamu hii ilivyo undecided na kuruhusu Matabaka sidhani serikali za Mataifa ya NJE yana IMANI na SERIKALI TAWALA ya CHAMA HIKI...