Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

Tangu sasa hadi 2015 tutasikia na kuona mengi, msimu wa viroja hasa.

Mushrooming ya vijarida, magazeti, blogs, programme elekezi za Tv na radio, kuibuka vyama vya msimu, kuibuka wanasiasa wa msimu, kuibuka wale wajiitao "wachambuzi mahiri" wa msimu na waishio bila itikadi kuama vyama. Ni msimu wa wale wanasiasa wajionao "wateule" kupamba kurasa za mbele za magazeti na habari za Tv/Radio kwa kununua fursa. Ni msimu hasa wa wale wajanja wa mjini wanaojifanya mabingwa wa mikakati kutengeneza pesa kwa "kuwashika wateule".

Kwa sisi wafuatiliaji wa siasa za ushindani Tanzania tangu mwaka ule wa 1995 hatushangazwi na haya. Ni msimu tu kama ile ya hali ya hewa kwa mwaka...vuli, masika na hata kiangazi. Tofauti ni kuwa msimu huu wa harakati nyingi za kutwaa madaraka huwaacha wengine na enzi huku wengine wakiingia jehanamu.

Kila la heri washiriki wote, kipyenga ndo kimepulizwa hicho!!!
 
Wewe jiliana shoza, umawadanganya vijana kuwa mtawapatia ajira wakati wewe kwenyewe huna ajira, njaa.. Unatapatapa huma mwelekeo.. Unawanyima vijana wa uvccm ulaji wao.
 
Wewe jiliana shoza, umawadanganya vijana kuwa mtawapatia ajira wakati wewe kwenyewe huna ajira, njaa.. Unatapatapa huma mwelekeo.. Unawanyima vijana wa uvccm ulaji wao.

attachment.php
Unasema Juliana hana kazi wakati ni mlinzi no. 2 wa Nape, no. 1 akiwa Mwampamba.
 
Huyu bibie kafuata hongo au bwana? Ukisikia hata vyuo vikuu kuna digree zinaitwa "under pant degrees" huyu inawezekana nae alifaulu hiyo.
 
Friday, April 5, 20DADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape anatarajiwa


kufungua semina ya H Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape anatarajiwa kufungua semina ya Halmashauri Kuu ya Mkoa huo ya CCM na baadaye kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Moshi.
o ya CCM na baadaye kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Moshi.

Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Steven Kazidi (wapili kushoto) akimtambulisha Mwenyekiti wa UVCCM mkoa huo, Frederick Mushi kwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Elizabeth Minde.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanajro mjini Moshi jioni hii.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kucharaza ngoma, iliyokuwa inapigwa na kundi la sanaa la CCM, baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jini Moshi jioni hii.
Katika ziara hiyo Nape ameambatana na Vijana waliojiengua hivi karibu kutoka Chadema, Mtela Mwampanga na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Juliana Shonza. Pichani, Mwampamba na Shonza Katika ziara hiyo Nape ameambatana na Vijana waliojiengua hivi karibu kutoka Chadema, Mtela Mwampanga na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema, Juliana Shonza. Pichani, Mwampamba na Shonza wakisalimiana na vijana wenzao ambao pia wamehamia CCm hivi karibuni kutoka Chadema mkoani Kilimanjaro, David Waryoba (kushoto) na Yona Makwaya (wapili kushoto)zao ambao pia wamehamia CCm hivi karibuni kutoka Chadema mkoani Kilimanjaro, David Waryoba (kushoto) na Yona Makwaya (wapili kushoto)

Vijana wakimsubiri Nape kwa shauku alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii.

  1. Nape akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Mohammed. (Picha zote na Nape akitia saini kwenye kitabu cha wageni, katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi jioni hii. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Mohammed. ashir Nkoromo wa


POSTED BY: BASHIR NKOROMO AT FRIDAY, APRIL 05, 2013


733930_351981558239257_1473252378_n.jpg




Ndani ya moshi mjini ziarani kichama Juliana shonza kada,Mwenyekiti uvccm mkoa wa kilimanjaro fredy Mushi na aliekuwa kamanda wa chadema (katibu wa chaso Ardhi) kada Yona Makwaia


attachment.php


Mkutanoni Magari Mengi zaidi ya Wasikilizaji?


ZIARA YA NAPE MOSHI MKOANI KILIMANJARO

by JOHN BUKUKU on APRIL 7, 2013 in
SIASA



Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, akipokea kadi ya aliyekuwa mwanachama wa Chadema, kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi, Juma Kalendo, baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Aprili 6, 2013, kwenye Viwanja vya Reli, Kata ya Njoro, Moshi mkoani Kilimanajro. Katika mkutano huo zaidi ya vijana 65 walitangaza kuhamia CCM kutoka Chadema na Nape ametangaza kuwakabidhi kadi za CCM katika hafla maalum itakayoandaliwa baadaye. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanajro Steven Kazidi. (Picha na Bashir Nkoromo).


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 6, 2013 kwenye Viwanja vya Reli, Njoro mkoani Kilimanajro. (Picha na Bashir Nkoromo).


Baadhi ya vijana waliojiunga na CCM, baada ya kuihama Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika Njiro mkoani Kilimanajro Aprili 6, 2013.


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM, katika kata ya Njoro, Moshi mkoani Kilimanajro, Aprili 6, 2013.


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wapili kushoto) akiagana na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM baada ya ziara yake ya siku mbili wilaya ya Moshi mjini mkoani Kilimanajro kumalizika Aprili 6, 2013.

mbona wengine wamekaa kama machangudoa vile, pili hivi watu wanaohama wanatoka chadema tu hakuna wananchama wa vyama vingine. Nimeamini chadema ni lulu na vichwa vinavyowafanya ccm wasilale usingizi, kila mtu anatamani kuona wanachama wa chadema anahamia kwake

mbona kadi zenyewe hatuoni wakimkabidhi nape, wala kukabidhiwa kadi ya ccm, hii ni ishara kanda ya kaskazini wameichoka ccm hawataki hata kupokea kadi zake

peoplz power inawatesa kweli
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia


uje wap???njoo unafikiri huku utaleta u-marioo wako tutakufumua kweli ukituletea uchizi wako mgonjwa wewe
 
uje wap???njoo unafikiri huku utaleta u-marioo wako tutakufumua kweli ukituletea uchizi wako mgonjwa wewe

Hapa tu ndipo wanaponifurahisha CDM , wao wakikataliwa suluhisho ni ugomvi na kupanga njama za kigaidi (Ref: Rwakatare ni gaidi na ni kiongozi wa CDM).

 
Nape kaza buti wakeleketwa tupo nyuma yako na mkutano wetu wa kutisha
 
Sijui mwenzetu una cheo gani CCM hadi useme ungekuwa na nafasi ungekuwepo pale!! kukurupuka ni kubaya sana. hebu tuelimishe kidogo siku hizi mtu anapofukuzwa kwenye chama tafsiri mpya anaitwa aliyejienguwa? maana naonma hapa kwenye hizi picha tunaambiwa Mwampamba na Juliana walijienguwa Chadema!!

Huyo Lukosi naye cheo chake kingekuwa sawa na cha wale masalia wawili, kwa wanamagamba wangemuandika kama kada aliyehamia ccm kutoka chadema kama wanavyowapamba kina shonza na stella mwampamba. Lakini ukweli ni kwamba wote watatu (shonza, mwampamba na lukosi) wanastahili cheo cha WALIOFUKUZWA/WALIOTIMULIWA kutoka CHADEMA
 
Vij
a
[/QUOTE]
Hata mimi mapokezi haya nayapenda jamani?
CCM Oyeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Atafute sababu Arudi tena kwa Wachagga
 
Sio Kila mchaga ni Chadema,Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa, Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
we kuku niambie mchaga gani ni waziri! aggrey Mwanri ni Mchaga!
 
Back
Top Bottom